Sasa ni mpaka wanayama

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,704
IMG-20171104-WA0077.jpg
 
Wallah..kama Mungu hatokiangamiza hiki kzazi....atawaomba msamaha sodoma na gomora!!!!
 
Wafugaji wa mifuga kama ng'ombe, kondoo na mbuzi tunayajua vizuri haya mambo. Hata Njiwa wana hii tabia. Mara nyingine wanyama wa kiume wadogo (kwa umbo na umri) au wanyonge katika kundi hupenda kupandana kama vile wanawapanda majike. Wafugaji wanalijua hii wala si kitu cha ajabu.
 
Hii habari inakuzwa na wazungu na mashoga kuhalalisha ufirauni wao.
Hata ng'ombe dume wa rika moja wakati mwingiñe huwa wanapandiana lakini sio kwa kufanya sex.
Hii kwa wanyama hutokea mara nyingi sana.
 
Mmh wanyama wanapigana kwenye ashakum kishenzi
 
Back
Top Bottom