Sasa ni MESSI,INIESTA na RONALDO...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
FIFA imewabakisha manguli watatu wa La Liga kugombea uchezaji bora wa dunia. Ni Lionel Messi aka Andunje,Andres Iniesta na Christiano Ronaldo. Wewe ungekuwa kocha,nahodha wa timu ya Taifa au mpigakura mwingine wa tuzo hii,ungempigia nani hapa?
 
Bila kupoteza muda ningempigia kura yangu ya ndio Lionel Messi
 
Nina imani kuwa ifikapo Januari mwakani, Lionel Messi ataweka rekodi yake ya kuwa mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia mara nyingi....na itasimama kama vizazi viwili hivi
 
Hiyo tuzo anaichukua Iniesta, he won euro 2012 na he was mchezaji bora wa michuano hiyo.
 
Hata mimi ningempigia Messi.Tusubiri Januari 7 tuone.Michel Platini,Rais wa UEFA, aliyewahi kuchukua tuzo hiyo mara tatu mfululizo kama Messi amesema kuwa hatajisikia vibaya akipitwa na Messi atakapochukua kwa mara ya nne.
 
FIFA imewabakisha manguli watatu wa La Liga kugombea uchezaji bora wa dunia. Ni Lionel Messi aka Andunje,Andres Iniesta na Christiano Ronaldo. Wewe ungekuwa kocha,nahodha wa timu ya Taifa au mpigakura mwingine wa tuzo hii,ungempigia nani hapa?

Why naah Xavi?
Wanamkatili sana mtu mzima, wakati mwingine busara inabidi itumike kuliko hisia...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom