Huko ndo ogopa, hawaziki vichanga pia wanatumika kama ni supuJamani niko China, mnantisha!!, kuanzia leo dagaa na kambale kwa sana......duh!! au sio huku nini; sema ni wapi basi...
Kula visivyoliwa haikuja hivi hivi huko China, huo ulikuwa mtazamo(vision) wa viongozi wao huko zamani baada ya kugundua kuwa ikitokea wamekumbwa na baa la njaa nchini kwao ni nani angewapa msaada wa chakuala cha kuwatosha watu wengi kiasi kufikia 1.4 bilion.
Ndipo hao watu wakakubaliana kimsingi kuacha kuchagua chakula, inasemekana ktk bahari na ziwani wanakula kila kitu isipokuwa merikebu, angani wanaacha aeroplane na nchi kavu wanaacha kula mawe tu vingine ruksa.
Hao ndio viongozi wenye vision-kuona mbali.