Uchaguzi 2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

Nadhani record hiyo 2015 lema anaweza kuwa ndie mbunge aliyeweka record ya kupigiwa kura nyingi,I don't know 2020,Mambo yatakuwaje kwakwe.Ahadi zake kwa wapiga kura Kama hajazitekeleza,A town inawezekana kabisa kurudi mikononi kwa wapinzani wake.
hapana ni Mh. Sugu ndio aliongoza kwa kupigiwa kura nyingi kuliko wagombea wote katika nafasi ya Ubunge na sio Mh. Lema

aim for the stars
 
Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge.

Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za ujasusi duniani.

Maendeleo hayana vyama
Mkishashiba uwaga mnajiandikia tu
 
Yericko hana muonekano wa kibunge, pamoja na kwamba simkubali Makonda, lakin naamini atakuwa chaguo Bora kuliko Kachero Yericko.
 
Makonda atashinda Jimbo lolote atakalogombea hata ingekua kongwa kwasababu mteja wake ndiye raisi,ndiye amiri jeshi ,ndiye tume ya uchaguzi na ndiye mahakama
Umesahahu kuongezea sifa moja, mteja wake ni jiwe na ndiye mkuu wa malaika.
 
Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge.

Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za ujasusi duniani.

Maendeleo hayana vyama
Kwani Dr Ndungulile hagombei?
 
Back
Top Bottom