Uchaguzi 2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
31,512
2,000
Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge.

Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za ujasusi duniani.

Maendeleo hayana vyama
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
914
1,000

Yaan Makonda anaweza acha kuongoza Dar na kwenda kuiongoza Kigambon.yaani awe anajidiliana na Yule Dc Lucy aache kuwaongoza Ma dc watano (ubungo,temeke,Ilala,kinondoni,na kigamboni yenyewe?.

mimi nilidhani mkuu wa mkoa kama wa Dar,Mwanza,Arusha na Mbeya ni Heshima zaidi kuliko kuliko kuongoza wizara yoyote hapa bongo.Labda kama lengo ni kuwa PM , though sioni kama kuwa wa kuchukua nafasi ya Majaliwa 2021.

Labda posho na pension za bunge ni kubwa kuliko za U-RC

wajuzi wanaweza kutujuza zaidi
 
Mega Mind Nyerere

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
1,442

Ndugu hujui kuwa ubunge kwa Makonda ni straight path ya kuwa waziri. Sasa fikiria waziri na mkuu wa mkoa ni nani mwenye cheo kikubwa ki-serikali?

Pia kuwa mbunge kunampa fursa ya kdumu kwenye uwanja wa siasa kwa muda mrefu kwa sababu hakuna ukomo ila U-RC unategemea na mamlaka iliyokuteuwa itakuwa na mtazamo gani wakati wowote unaweza kupoteza kibarua na kurudi kijijini kulima kama ulikuwa mkulima kama mimi.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
89,806
2,000
Wewe sasa ni mnafiki, huyo si alikataliwa na familia ya Nyerere, mnataka kumfanya Mbunge huyu fisadi wa Jina na historia ya watu. Huyu ulaya na USA anaitwa THIRF OF IDENTITY, na kifungo chake ni miaka 25 bila msamaha (Parole)

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Lyatonga hawezi kutoa msamaha?

In God we Trust
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom