Sasa ni dhahiri Slaven Bilic kutimuliwa Westham United.

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
218,001
Inasikitisha sana lakini hakuna namna yoyote ya kumuacha aishushe daraja timu hii .

Haijulikani amekumbwa na nini lakini kinachofahamika ni kwamba Westham wako kwenye timu 3 za kushuka daraja , na kama wakifungwa nyumbani na Southampton leo , hali itakuwa tete zaidi ( mpaka dk 50 , westham 0 - 1 Southampton )
 
Tatizo sio kocha tatizo ni aina ya wachezaji alio no. Kama yeye ndio kahusika katika kusajili wachezaji anatakiwa kuwa responsible to be fired ila kama kuna jopo la usajili basi wao ndio wanatakiwa waadhibiwe. Kwani inaonekana kwa msimu uliopita walionekana West ham walikuwa kwenye form na mori kubwa but msimu huu mori imepungua sasa hapo lazima iangaliwe tatizo ni nini, ila sio kumwadhibu kocha moja kwa moja.

But all in all Coach are hired to be fired
 
Kama Payet yule yule wa msimu uliopita yupo kwanini asilaumiwe kocha ?
 
Kama Payet yule yule wa msimu uliopita yupo kwanini asilaumiwe kocha ?
Tatizo linaweza kuwa ni mchezaji mwenyewe je ame mentain kiwango chake thus why inafika kipindi kocha anauza mchezaji kwa kushindwa kumantain viwango vyao kwa mfano Martin skrtel beki kisiki wa liverpool alifika kipindi alishuka kiwango akaamua kuuza sasa inaonekana kuna wachezaji wapo West ham wameshuka viwango lakini kocha anaamini watabadilika when days goes on ndio maana anawavumilia hiyo inatokana pia na matatizo ya kifedha waliyonayo West han
 
Mbona Aveva bado anadunda Msimbazi, ulishindwa kumuondoa?
 
Payet..Lanzini..Feghouli..Carroll..Ayew..Gokhan tore...signings nzuri on paper, lakini wote wabinfsi..west ham kwao ni kama stepping stone..same strategy iliyo waangusha Newcastle..Bilic inabidi awe makini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom