Sasa ni Dhahiri Mbowe ni Mwalimu wa siasa Tanzania

Ukiachilia mbali kwamba Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA , Chama cha siasa kilichoshambuliwa zaidi barani Africa kikifuatiwa na ANC ya Africa Kusini enzi za makaburu , Lakini pia duru za kisiasa za dunia zinamtaja Mbowe kama Mwenyekiti bora wa chama cha siasa kuwahi kuwepo barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi.

Idadi ya vijana aliowafundisha siasa hakuna ukurasa wa hapa JF unaweza kutosha kuwaandika , wapo waliompongeza na kumheshimu , lakini wapo waliomtukana na kumdhalilisha bila kujali alikowaokota na kuwapa heshima mbele ya jamii , hata hivyo hajawahi kulipa kisasi , Mtu huyu si wa kawaida .

Kumbe lijualikali alikuwa hivi!!!! Halafu kanyea kambi!!! Hivi nayeye yuko bungeni?
 
Ukiachilia mbali kwamba Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA , Chama cha siasa kilichoshambuliwa zaidi barani Africa kikifuatiwa na ANC ya Africa Kusini enzi za makaburu , Lakini pia duru za kisiasa za dunia zinamtaja Mbowe kama Mwenyekiti bora wa chama cha siasa kuwahi kuwepo barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi.

Idadi ya vijana aliowafundisha siasa hakuna ukurasa wa hapa JF unaweza kutosha kuwaandika , wapo waliompongeza na kumheshimu , lakini wapo waliomtukana na kumdhalilisha bila kujali alikowaokota na kuwapa heshima mbele ya jamii , hata hivyo hajawahi kulipa kisasi , Mtu huyu si wa kawaida .

Tatizio unatoa sifa kuliko tunavyomfahamu. Huyu ni kibaka tu kama wengine mtu wa hovyo hovyo tu!
Msikilize akijieleza hapo chini

Source: Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito
 
Ukiachilia mbali kwamba Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA , Chama cha siasa kilichoshambuliwa zaidi barani Africa kikifuatiwa na ANC ya Africa Kusini enzi za makaburu , Lakini pia duru za kisiasa za dunia zinamtaja Mbowe kama Mwenyekiti bora wa chama cha siasa kuwahi kuwepo barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi.

Idadi ya vijana aliowafundisha siasa hakuna ukurasa wa hapa JF unaweza kutosha kuwaandika , wapo waliompongeza na kumheshimu , lakini wapo waliomtukana na kumdhalilisha bila kujali alikowaokota na kuwapa heshima mbele ya jamii , hata hivyo hajawahi kulipa kisasi , Mtu huyu si wa kawaida .

Niliwahi kusema na leo narudia tena. Pamoja nza mdhaifu mengine ya kibinadamu ambayo kila mtu anayo; Mbowe ni kiongozi makini sana kuwahi kutokea Tanzania. Moja kati ya sifa nyingi za kiongozi bora ni Kutokuwa na "kinyongo" kwa watu wanaokutenda ubaya; watu ambao wewe ndo uliochangia kuwa hapo walipo.
 
Hakika yoyote anaweza kuwa mwalimu maana inategemea anayefundishwa (mwanafunzi) ni nani.
 
Mapambio au mademka? CCM acha kabisaaa! Yaani sasa hivi mama Samia akisema kuanzia leo ndege zote nauza, kuanzia jumuiya ya wazi, ya kike, ya vijana, ya wazee na vikongwe, ya watoto wao na ya baba zao wooote utasikia "Tunatoa tamko la kumpongeza raisi wetu kipenzi kwa uamuzi wa kizalendo wa kujali maslahi ya taifa kwa kuuza ndege zinazotia hasara". Yaani CCM!!! Weka mbali na watoto!!
wakati huo nyumbu wanasuta kwanini ziuzwe

ccm ni wazushi wakongwe,cdm wanajifunza.
 
Back
Top Bottom