Sasa ni dhahiri kufanya biashara kwenye masoko ya Tanzania ni hatari

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,476
215,304
Hasara ambayo wafanyabiashara wa masokoni wanaipata baada ya bidhaa zao kuteketea kwa moto unaounguza masoko hayo haipimiki , serikali yao haijali lolote na wala ahadi ya serikali ya kuunda Tume za kuchunguza chanzo cha moto kwenye masoko hayo imegeuka kuwa uongo , hakuna majibu yaliyotolewa hata baada ya Tume hiyo kuundwa.

Ni vema Wafanyabiashara wakaanza kutambua sasa kwamba NI JAMBO LA HATARI SANA kwa wao kuendelea kutumia masoko hayo kama sehemu za kuuzia bidhaa zao , watafute namna ya kufanya , kimsingi Serikali ya Tanzania imeshindwa kuleta ufumbuzi kwenye jambo hili .
 
... nina miaka sijafika huko Dar; hivi pale Karume ni vibendera gani vilikuwa vinapepea kwa wingi zaidi? Vya Simba au vya Yanga? Maana pale ni karibu sana na Msimbazi na Jangwani.
 
Hakuna kilichobaki , hata kumbukumbu sina
 
Tatizo Soko linakuwa dogo kwa wingi wa watu na serikali haifanyi jitihada ya kuhamisha watu kwenye masoko mapya

Masoko mengi yalijengwa na mkoloni na mengine baada ya Uhuru ila masoko yaliyojengwa na wenye akili walijenga makubwa sana ingawa watumiaji walikuwa wachache sana
Wakijua ipo siku watu wataongeze

Lakini sisi sasa ujinga mwingi bado masoko yale yale ukubwa ule ule na bado idadi ni x10 ndani ya Soko moja

Sio moto tu hata maradhi ni mengi sana humo
 
Hasara ambayo wafanyabiashara wa masokoni wanaipata baada ya bidhaa zao kuteketea kwa moto unaounguza masoko hayo haipimiki , serikali yao haijali lolote na wala ahadi ya serikali ya kuunda Tume za kuchunguza chanzo cha moto kwenye masoko hayo imegeuka kuwa uongo , hakuna majibu yaliyotolewa hata baada ya Tume hiyo kuundwa .

Ni vema Wafanyabiashara wakaanza kutambua sasa kwamba NI JAMBO LA HATARI SANA kwa wao kuendelea kutumia masoko hayo kama sehemu za kuuzia bidhaa zao , watafute namna ya kufanya , kimsingi Serikali ya Tanzania imeshindwa kuleta ufumbuzi kwenye jambo hili .
Yanachomwa na shahidi namba 8 Jumanne wa kesi ya Mbowe, mtu asiyejulikana na sasa amejulikana
 
Hasara ambayo wafanyabiashara wa masokoni wanaipata baada ya bidhaa zao kuteketea kwa moto unaounguza masoko hayo haipimiki , serikali yao haijali lolote na wala ahadi ya serikali ya kuunda Tume za kuchunguza chanzo cha moto kwenye masoko hayo imegeuka kuwa uongo , hakuna majibu yaliyotolewa hata baada ya Tume hiyo kuundwa .

Ni vema Wafanyabiashara wakaanza kutambua sasa kwamba NI JAMBO LA HATARI SANA kwa wao kuendelea kutumia masoko hayo kama sehemu za kuuzia bidhaa zao , watafute namna ya kufanya , kimsingi Serikali ya Tanzania imeshindwa kuleta ufumbuzi kwenye jambo hili .
Masoko ambayo sio rasmi na Yale ambayo mumegoma kuhama Ili tuyaboreshe.

Hii njia imetumika toka enzi na enzi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom