JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,424
- 15,931
Katiba mpya haina shida, usilaumu wananchi kudai haki Yao, saikolojia inasema, ukikaa Sana kwenye mateso, unayazoea, nakuona ni kawaida, kama baadhi wanavyoona maisha haya ya bongo, kwamba ni mapenzi ya Mungu wewe ukose ajira, mkopo wa, elimu ya juu, utibiwe hopsitsri uchwala, wenzio hata mafua wana kwenda ulaya.Matatizo ya kuvamia na kuiga mifumo ya walami bila upembuzi yakinifu yanadhihirika sasa.
Nchi tuliyoambiwa imepiga hatua mbele katika kufuata demokrasia sasa inaumbuka na inashindwa kujinasua kwenye sakata la maandamano.
Tuliaminishwa vurugu zingeweza kuondoshwa na uwepo wa katiba mpya lakini badala yake tunajionea vurugu zaidi na kutotawalika kwa nchi ya Kenya.
N.B rejea vurugu baada ya uchaguzi ,utekaji wa kiongozi wa Tume ya uchaguzi,uchomaji mashamba ya familia ya Kenyata na sasa maandamano yenye vurugu.
Pia Soma: LIVE - Yanayojiri Maandamano Kenya: Waandamanaji wafika Bungeni, wawili wauawa kwa risasi
Wanchodai vijana, very simple, kwanini umeongeza ofisi za wake wa viongozi, wakati katiba hairuhusu? Maisha ni magumu, kwanini umeongeza ukubwa wa serikali? Wananchi wanataka mdahalo wa nchi Yao, nchi na viongozi, waishi kwa uwezo wao, punguza matumizi ya sio ya lazima, magari, chai ofcn, safari, semina, walsha,pesa, nyingi iende kwenye uzalishaji Mali, sio kula!
Status, ya, Kenya, na, nchi nyingi za Afrika, ni Kodi insyokusanywa kwa mwezi, instosha kulipa madeni na mishahara tu, ukitaka kujenga balabala, elimu bure, afya, huduma za, making, lazima ukope! Hapo lazima upunguze matumizi, sasa wanasiasa wanakopa kununua magari, fenicha, chai, safari, hayo ndio yanayowakela wakenya, wa bongo wao wanalia Lia tu, akili zimeshikwa, maisha yakibana, Mwamposa anaambiwa aitishe mkesha wa "kufuta shida na ma balaa kwenye maisha" Kenge wakibongo wanafurika, wanategemea watattua shida za kiuchumi kwa mapambio!
Wakati watoto wako wanakosa maisha mazuri, w anakimbilia kanisani kuomba.