Bwana Fuso uzi unataka utoe defintion ya kusucrifice maisha yako. Jinsi wewe unavyoelewa.hamna lolote, si aligoma kufuata ushauri wa daktari wake, alifikiri corona ni mama mkwe wake. !!
Mungu wapo wengiKabisa. Tutamkumbuka sana Mh. John Pombe Magufuli.
Ni moja ya viongozi waliokuwa wanamjua Mungu. Na alikuwa na kiona mbali.
Ukiwa kwenye vyama vya Siri siku yako ya kufa au zamu yako kutolewa kafara au mkataba mlioingia ukimalizika wanakuambia siku ya kufa. Hivyo unajiandaa.Trust me sumu aliyoicha Magufuli bado ipo ni baada ya miaka kumi mpaka kumi na tano itadhihirika.
Aliifundisha falsafa yake kwa miaka 5 na miezi 5 ukiachana na wakati wa uwaziri wake ambapo alisimamia viwanja vya ndege,Barbara ya lami dsm to mtwara n.k
Vituo vya kupimia uzito na barabara za ndani ya mji wa dsm kasimamia akiwa waziri mpaka kuwa raisi.
Binafsi huwa naona walichelewa kumkata upepo kwa hizi project tatu kwa kuwa alizianza.. Project ya umeme, reli ya kati ,hamasa ya kufundisha uzalendo juu ya nchi na kutetea watu masikini licha ya kuwa walimpakazia hataki matajiri ili hali alitaka matajiri wasio wanyonya na kudhulumu watu masikini.
Kazi ya dkt. JPM ipo kwenye mioyo ya watu haswa wenye maisha ya kawaida na kati nimepita sehemu nyingi watu wakiona picha yake huwa wanasema hivi " Alikua mwanaume"
Binafsi najua hakutaka upinzani ili apoteze muda wa kubishana alitaka kazi na kushauriana maendeleo(hapa ndipo wengine waliona hataki kushauriwa na kukosolewa kumbe aliwaza akitimiza hayo watanzania wata anza kujitegemea kiuchumi)
Bahati mbaya project zake zilihitaji aishi zaidi ya ile siku aliyopangiwa atuache bila kujua ilikua hiari yake, Mungu au maadui ndio walipanga isipokuwa siku ya kumuaga kijazi alivyodiriki kusema hata yeye anaweza kufa nilihisi kifo chake kinaweza kutokea lakini nilijua ni raisi isingewekana lakini Mungu ndio mpangaji asipotaka ufe hata kama adui kakudumbukiza baharini na jiwe utatoka ila haya yote ni Siri ya muumba.
Kisha umaliza mwendo, bei za vifaa vya ujenzi ni hatari kikubwa matumaini tunayopata na mageuzi ya muda mfupi mengine tuyape muda .
Lala salama Dkt .John Pombe Magufuli.
Nyie wenzetu mmejuaje kuwa alikufa na corona mbona tunasikia alichanja kimya kimya?hamna lolote, si aligoma kufuata ushauri wa daktari wake, alifikiri corona ni mama mkwe wake. !!
Nami nakumbuka baadhi ya kauli zake:Kabisa. Tutamkumbuka sana Mh. John Pombe Magufuli.
Ni moja ya viongozi waliokuwa wanamjua Mungu. Na alikuwa na kiona mbali.
Biased statement.
CAG alipohoji matumizi yasiyoeleweka ya shilingi 1.5 trilioni aliishia kupokwa kibarua chake kinyume na taratibu za uteuzi wake. Mpaka kesho hatujui zilielekezwa wapi zile pesa.
Hakika kbsa na akaongezea kusema walidhani ntakuwa kama wao au ntakuwa miongoni mwao.Ndugu zangu
Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya watanzania maskini.
Nimeelewa hivi kiongozi kusacrifice maisha yake kwaajili ya watanzania ni kitendo cha kutumia fedha zote za umma kuijenga Tanzania na kukataa kushirikiana na viongozi wenzake wenye nia ya kuiba, kudhulumu, kuhujumu na kufisadi mali na fedha za umma.
Mtanzania mwenzangu wewe unaelewaje.
Tafadhali toa maana yako.
Huu uzi sio kwaajili ya kuwasema watu bali ni uzi, tunataka tupate maana ya kusacrifice maisha maana yake nini. Kila mmoja ajikite kwenye kutoa maana badala ya kuwasema watu.
Acha kuleta kichefuchefu. 1.5T ziko wapi?Kama kulikuwa na ufisadi unadhani hawa wanaochafua legacy ya mzee wangemnyamazia.... acheni kuokota maneno ya mtaani... ni siku tu utaambiwa ulipie hiyo hewa unayovuta ndo utaelewa kuwa upo kwenye sayari gani...
He was the true Son of Africa, the Hero
Duh!!! Wonderfulhujui zilielekezwa wapi hizo ndege 11 unapanda unafikiri alipewa bure?
Makamba tangu aingie TANESCO ni mwendo wa mikataba tu ... mama haelewi kinachoendelea akiamka kumekucha
madikteta huwa wana kauli nzuri sana za kuwafariji wale wanaowatawala.Ndugu zangu
Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya watanzania maskini.
Nimeelewa hivi kiongozi kusacrifice maisha yake kwaajili ya watanzania ni kitendo cha kutumia fedha zote za umma kuijenga Tanzania na kukataa kushirikiana na viongozi wenzake wenye nia ya kuiba, kudhulumu, kuhujumu na kufisadi mali na fedha za umma.
Mtanzania mwenzangu wewe unaelewaje.
Tafadhali toa maana yako.
Huu uzi sio kwaajili ya kuwasema watu bali ni uzi, tunataka tupate maana ya kusacrifice maisha maana yake nini. Kila mmoja ajikite kwenye kutoa maana badala ya kuwasema watu.
Kabisa. Tutamkumbuka sana Mh. John Pombe Magufuli.
Ni moja ya viongozi waliokuwa wanamjua Mungu. Na alikuwa na kiona mbali.
Umenena vyema mkuu mzee kaacha pengo hakuna wakuliziba hata wakimchafua kazi zake zitamsafishaTrust me sumu aliyoicha Magufuli bado ipo ni baada ya miaka kumi mpaka kumi na tano itadhihirika.