Sasa nakaribia mjini:MPOTO ON FACE BOOK

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Sasa nakaribia mjini,mwenye salam za mwisho ukiacha nilizonazo anipe kabisa,mwenye barua,zawadi kwa mjomba,mwenye maswali wakati ndio huu tafadhali,mkisikia BOOOOOM mjue ntakua nimefika.....My take:Mrisho mpoto atakuja na nini?hayo maneno yake kwenye ukurasa wake wa face buku
 
Back
Top Bottom