Sasa najua why Clouds Media wako jirani sana na Kiongozi na Chama Chake

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,751
196
20.jpg

Rais Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Clouds Media Group,Bw.Joseph Kussaga usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya taasisi ya WAMA,jijini Dar

19.jpg

Rais Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa kampuni ya burudani hapa nchini,Prime Time Promotions Ltd,Juhayna Ajmi.

11.jpg


Hapa hamna haja ya caption tumemzoea tunamjua


Source: JIACHIE Blog
 
Wanajua madhaifu yake, kwamba ukijisogeza kwake anasahau wajibu zake, hawezi kukufuatilia, na hata ukiwa fisadi anaogopa kukugusa!
 
Nimeona kuna nyingine yupo na wasanii JK kipindi cha kampeni bana anajiweka karibu sana watu, niliona kipindi fulani pale Mwenge roundabout ya kuingia Africa sana kuna bango kubwa yeye na Chege likijinadi "MTU WA WATU" aisee
 
Epa ya ccm imetumika vizuri kwa kuinunua clouds radio na kuwanunua akina kibonde nasikia wamepata mgao wa kufa mtu wa hizo pesa za epa qwalizoiba ccm............ccm wanatumia nafasi ya masilahi duni ya akina kibonde kwa hiyo kussaga anawaunganisha na mipesa ya ccm ili wapige debe mpaka mwisho.......japo baadhi ya vijana wa clouds wamesema wanafanya hivyo kwa sababu tajiri yao kawaomba wafanye hivyo ila kiukweli hawawezi kuipigia kura ccm wamekiri kuwa ni njaa tu inawasumbua................
Kazi ipo1
 
Nimejaribu kuangalia hizo picha zote kule JIACHIE, inaonekana kabisa rais wetu hana furaha, na hata pale anapotabasamu utaona ni kama amejilazimisha (plastic smile) Nisaidieni jamani ni nini kimemsibu rais wetu, au ni uchovu tu wa kampeni. I am not happy kwakweli.
 
Me too,tulisafiri naye kwa saa 6 (sita) amekaa kimya,ametulia kimya na sisi wote kimya mpaka tunafika hana unafiki unafiki yaani sijui mimi simba na wewe yanga,joto au baridi siku hizi au mvua inanyesha ua laa.
Yaani kimya kimya tu,
kazi kazi tu.

Yaani una ile no nonsense stance

No more hakuna utani
 
4.jpg

source huko!! dah kwa jinsi navyomjua Prof Jay akishakamata gambe ni muongeaji sana na mvua kiaina! sasa hapa JK naona mdadi umempanda
 
nimegundua kikwete anapenda kujiside na upande ambao watu wengi hawaupendi.
 
Me too,tulisafiri naye kwa saa 6 (sita) amekaa kimya,ametulia kimya na sisi wote kimya mpaka tunafika hana unafiki unafiki yaani sijui mimi simba na wewe yanga,joto au baridi siku hizi au mvua inanyesha ua laa.
Yaani kimya kimya tu,
kazi kazi tu.

Yaani una ile no nonsense stance

No more hakuna utani

Li Nkapa nalo jeuri na dharau tu...achana nalo.
 
rais wangu bwana, kaazi kwelikweli

kajaza mabongo fleva kwenye birthday yake huku wachumi waangalia bigbrother africa (BBA III)... kweli nchi ina usingizi
 
rais wangu bwana, kaazi kwelikweli

kajaza mabongo fleva kwenye birthday yake huku wachumi waangalia bigbrother africa (BBA III)... kweli nchi ina usingizi

Ulitegemea msanii awe na watu gani. Wachumi atakuwa na nini cha kuongea nao?
 
Mchwa hawezi kujichanganya kwenye kundi jingine isipokuwa lile la mchwa wenzake tu.
Halikadhalika msanii........
 
Me too,tulisafiri naye kwa saa 6 (sita) amekaa kimya,ametulia kimya na sisi wote kimya mpaka tunafika hana unafiki unafiki yaani sijui mimi simba na wewe yanga,joto au baridi siku hizi au mvua inanyesha ua laa.
Yaani kimya kimya tu,
kazi kazi tu.

Yaani una ile no nonsense stance

No more hakuna utani
\
halafu anajiita mwanasiasa, mwanasiasa siku zote ni mtu wa kujichanganya bana, unamnunia nani kama sio dharau na kiburi tu
 
20.jpg

rais kikwete akisalimiana na mkurugenzi mtendaji wa makampuni ya clouds media group,bw.joseph kussaga usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya taasisi ya wama,jijini dar

19.jpg

rais kikwete akisalimiana na mwenyekiti wa kampuni ya burudani hapa nchini,prime time promotions ltd,juhayna ajmi.

11.jpg


hapa hamna haja ya caption tumemzoea tunamjua


source: Jiachie blog

wote wanakutana disko moja
 
Back
Top Bottom