Director Chuma
Member
- Feb 4, 2019
- 20
- 18
Kwa wanaotaka kujifunza zaidi ya online kupitia YouTube channel yangu ya Director chuma mnaweza kujiunga na chuo ninachofundisha bagamoyo kwa sasa
karibuni sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sanaSafi kijana
Ahsante sanaHongera Saana Kaka
Ahsante sanaHongera
Nilikua nataman sana nifungue chanel ya youtube ila hii sheria mpya imenivunja moyo... Je wewe umetumia njia gani mkuu?
Kwa wanaotaka kujifunza zaidi ya online kupitia YouTube channel yangu ya Director chuma mnaweza kujiunga na chuo ninachofundisha bagamoyo kwa sasa
karibuni sana
Sheria gani?, wanaopaswa kusajili ni wanaorusha Habari kama kina Ayo tvNilikua nataman sana nifungue chanel ya youtube ila hii sheria mpya imenivunja moyo... Je wewe umetumia njia gani mkuu?
Ahsante kwa yote MkuuSheria gani?, wanaopaswa kusajili ni wanaorusha Habari kama kina Ayo tv
By the way hongera kwa mtoa post.
Karibu sana, Unaweza pia kuweka kambi chuoni maana nafasi za malazi zipo na mahitaji yote muhimuDaaah mkuuu ninhependa sana kujiungaa niko mwanza semaa itabidi nifuatili online mkuu
Ni mwaka (Masomo miezi 9) na ada ni Milion moja na laki moja kwa full course Tv & video video production lakini unaweza kulipa kwa awamu au unaweza kusoma course ya miezi mitatu mitatu ikiwa miezi mitatu ya kwanza utalipia laki 5 na miez 3 inayofuata ni laki 3 na ya mwisho mitatu ni laki 3Lesson inachukua muda gani na gharama zake zikoje?