Elections 2015 Sasa naanza kupata picha kwamba Apson Mwang'onda yupo kwa Lowassa kikazi zaidi...

Mkuu, hayo mengine siyajui. Ila hili la juzi Kikwete alitaka awekee 'TV' yake pale Ikulu halafu astaafu na remort akiwa nayo yeye. Kikwete hana cha kujivunia, hata ukikutana naye ukampongeza atahisi unamng'ong'a tu na atakachokufanya hutataka kusimulia.
Ukweli ni kuwa Magufuli hakuwemo hata kwenye tano bora ya awali bali mashinikizo ya watu kuhoji na kutishia kuwang'oa wote wakianza na yeye ndipo Ben alipoicheza karata ya Magufuli. Kwa kifupi Kikwete anaondoka na machozi.

Khs Magufuli kunaukweli flan cz huyu ni MTU wa MKAPA hata kikwete alipoingia Madarakani MAGUFULI alikuwa anatupwa kwenye Cabinet nivile tu kwamba jamaa alijitutumua kupiga kz Jk kafanya kuona km aibu manake watu wangemshangaa,,,,,Inaeleweka wazi JK alikuwa na mawazo ya LINDI tu
 
We mleta mada mpaka unasema apson alikuwa kizazi, jiulize swali moja, apson alienda kuomba kazi au lowassa ndo alimwita awe meneja wake? Halaf ukipata jibu ukalale
 
Usiwe na akili fupi. Umeshaambiwa hizi ni taaluma za watu ... unaendelea kuweweseka.

Wewe jibu hili swali. Lowassa alitoa wapi wazo la kumtafuta Apson. Unajua chimbuko la muamala huo.?
 
Ndiyo maana jamaa alikimbia mapema, akajipumzishe 'milima ya Kijabe', aliona dhahama inakuja...!
 
Nimeanza kuunganisha dots na kwa mbaali naiona picha kuwa kitendo cha Jasusi mkuu mstaafu wa nchi yetu kujiunga na kambi ya Lowasa kilikua ni cha kimkakati zaidi. Kwa wanaomfajamu Apson na utendaji wake tulijiuliza sana lakini tulikosa majibu.

Leo hii mara baada ya Edward kumaliza kufanya kampeni (Ninasisitiza kuwa ni kampeni na si kutangaza nia) yake pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ndipo nikazinduka na kutambua kuwa Apson alikua 'under cover' akiwa na jukumu maalum la kumdhoofisha Edward and Kingunge nailed it. Hili suala la magenge ya wasaka madaraka yaliyumbisha sana idara yetu ya usalama wa taifa kitu kilichopelekea idara hii kushutumiwa sana mitandaoni pia na makundi mbalimbali ya kijamii.

Ilikua si kazi rahisi kulimudu hili genge maana lilishajijenga vya kutosha na namna pekee ya kulisimamisha ilikua ni lazima the big man aingie in the war front and to begin with ilibidi ku step down then kujipenyeza ndani ya kambi hii ambapo na ku gain trust. Seems lengo la yeye kwenda front ilikua ni kulinda nguvu kazi ambazo idara hii ilikua ikizipoteza mara tu magenge haya yalipoona maslahi yao yanahatarishwa, (kujua zaidi unaweza ukarejea kingo za sakafu za mzee Kapinga na Daudi Mwakawago and others of a like zilipoishia).

Kwa kuwa magenge haya yanawakilisha maslahi mapana zaidi ya mataifa ya kigeni yanayoangalia namna ya kubena rasilimali zetu na yenye mitandao ya nguvu ya kijasusi, seems yali smell something fishy with Apson na hapo ndipo tukatangaziwa the return of The Kingmaker ambapo tukasikia kuwa Apson anawekwa kando (thou it was too late) kimtindo and the Kingmaker took over.

Kwa speech ya Edward na kila kitu kilichoendelea pale na kinachoendelea ndani ya kambi yake I can draw the conclusion kwamba the Game is Over. Ninaanza kupata hisia kuwa kutakuwa na transition kubwa zaidi mwaka huu.

Tanzania inarudi katika ubora wake, this is my country, I belong here. Hakika moyo wangu una furaha sana kuliko wakati wowote ndani ya miaka hii kumi. Si jambo dogo kuachia nafasi kubwa kama ile katika ofisi nyeti wakati muda ukiwa unamruhusu na kuamua kwenda under cover, hakika napata hisia idara yetu bado ingaki hai na nguvu na makali yake.

NB: Hizi ni hisia zangu baada ya kuunganisha dots kadhaa. Hazina uhusiano na taarifa yoyote rasmi. Unaweza ukawaza tofauti na kuwasilisha au kuchangia kwa namna yako mimi sitakuwa na cha kuongeza wala kupunguza.

Katika hazina ya TISS unashika hatamu. Shikamoo.
 
Andiko limekaa vizuri na linavutia nakushawishi sana. Na pia kwakuwa HISIA za mwanzo alizotoa mleta uzi zimekuwa kweli kwa Lowasa kutemwa ndio maana wavivu wakushughulisha AKILI zao wanatoa Pongezi kwa Mleta UZI.
But jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza.
 
Mkuu, hayo mengine siyajui. Ila hili la juzi Kikwete alitaka awekee 'TV' yake pale Ikulu halafu astaafu na remort akiwa nayo yeye. Kikwete hana cha kujivunia, hata ukikutana naye ukampongeza atahisi unamng'ong'a tu na atakachokufanya hutataka kusimulia.
Ukweli ni kuwa Magufuli hakuwemo hata kwenye tano bora ya awali bali mashinikizo ya watu kuhoji na kutishia kuwang'oa wote wakianza na yeye ndipo Ben alipoicheza karata ya Magufuli. Kwa kifupi Kikwete anaondoka na machozi.

Nakubaliana na wewe mkuu.. Baada ya Magufuli kutangazwa ameshinda alienda kukumbatiana na Ben na kuongea nae kidogo..
 
Msimpe sifa Apson, ni mtu wa kawaida na mjinga kabisa, hakuna chochote cha maana anaweza kufanya cha kijasusi kwa sasa, yupo kwa Lowassa kwa makusudi ya kimaslahi, analipwa na Lowassa na anajua atafaidi zaidi kama Lowassa atakuwa rais.

Teh teh teh vipi mkuu upo??

Atake maslai gani zaidi?? Unaujua mshahara wa Mkurugenzi mkuu wa TISS..
 
Nimeanza kuunganisha dots na kwa mbaali naiona picha kuwa kitendo cha Jasusi mkuu mstaafu wa nchi yetu kujiunga na kambi ya Lowasa kilikua ni cha kimkakati zaidi. Kwa wanaomfajamu Apson na utendaji wake tulijiuliza sana lakini tulikosa majibu.

Leo hii mara baada ya Edward kumaliza kufanya kampeni (Ninasisitiza kuwa ni kampeni na si kutangaza nia) yake pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ndipo nikazinduka na kutambua kuwa Apson alikua 'under cover' akiwa na jukumu maalum la kumdhoofisha Edward and Kingunge nailed it. Hili suala la magenge ya wasaka madaraka yaliyumbisha sana idara yetu ya usalama wa taifa kitu kilichopelekea idara hii kushutumiwa sana mitandaoni pia na makundi mbalimbali ya kijamii.

Ilikua si kazi rahisi kulimudu hili genge maana lilishajijenga vya kutosha na namna pekee ya kulisimamisha ilikua ni lazima the big man aingie in the war front and to begin with ilibidi ku step down then kujipenyeza ndani ya kambi hii ambapo na ku gain trust. Seems lengo la yeye kwenda front ilikua ni kulinda nguvu kazi ambazo idara hii ilikua ikizipoteza mara tu magenge haya yalipoona maslahi yao yanahatarishwa, (kujua zaidi unaweza ukarejea kingo za sakafu za mzee Kapinga na Daudi Mwakawago and others of a like zilipoishia).

Kwa kuwa magenge haya yanawakilisha maslahi mapana zaidi ya mataifa ya kigeni yanayoangalia namna ya kubena rasilimali zetu na yenye mitandao ya nguvu ya kijasusi, seems yali smell something fishy with Apson na hapo ndipo tukatangaziwa the return of The Kingmaker ambapo tukasikia kuwa Apson anawekwa kando (thou it was too late) kimtindo and the Kingmaker took over.

Kwa speech ya Edward na kila kitu kilichoendelea pale na kinachoendelea ndani ya kambi yake I can draw the conclusion kwamba the Game is Over. Ninaanza kupata hisia kuwa kutakuwa na transition kubwa zaidi mwaka huu.

Tanzania inarudi katika ubora wake, this is my country, I belong here. Hakika moyo wangu una furaha sana kuliko wakati wowote ndani ya miaka hii kumi. Si jambo dogo kuachia nafasi kubwa kama ile katika ofisi nyeti wakati muda ukiwa unamruhusu na kuamua kwenda under cover, hakika napata hisia idara yetu bado ingaki hai na nguvu na makali yake.

NB: Hizi ni hisia zangu baada ya kuunganisha dots kadhaa. Hazina uhusiano na taarifa yoyote rasmi. Unaweza ukawaza tofauti na kuwasilisha au kuchangia kwa namna yako mimi sitakuwa na cha kuongeza wala kupunguza.
Ulikuwa sahihi. Yaani hata akina nchimbi, Mzee kingunge walienda kukusanya taarifa wala hawakuwa na nia ya edo kushinda. Kweli hatutashangaa Nchimbi akiteuliwa kuwa Mbunge (maana songea hawamtaki).
 
Duh!! Hawa wawili siyo sehemu ya Dots zangu.
 
And the Saga continues... limehamia Chadema....Beware of The Company!

I can't believe that the Opposition walked so easily into this trap after years of fear mongering and accusing various members of being members of the Security Services
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom