dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,954
- 9,474
Mkuu, hayo mengine siyajui. Ila hili la juzi Kikwete alitaka awekee 'TV' yake pale Ikulu halafu astaafu na remort akiwa nayo yeye. Kikwete hana cha kujivunia, hata ukikutana naye ukampongeza atahisi unamng'ong'a tu na atakachokufanya hutataka kusimulia.
Ukweli ni kuwa Magufuli hakuwemo hata kwenye tano bora ya awali bali mashinikizo ya watu kuhoji na kutishia kuwang'oa wote wakianza na yeye ndipo Ben alipoicheza karata ya Magufuli. Kwa kifupi Kikwete anaondoka na machozi.
Khs Magufuli kunaukweli flan cz huyu ni MTU wa MKAPA hata kikwete alipoingia Madarakani MAGUFULI alikuwa anatupwa kwenye Cabinet nivile tu kwamba jamaa alijitutumua kupiga kz Jk kafanya kuona km aibu manake watu wangemshangaa,,,,,Inaeleweka wazi JK alikuwa na mawazo ya LINDI tu