Sasa naanza kupata picha kwa nini Mwanyika amegoma kujiuzulu!

Nyerererist

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
438
5
kumbe walitaka kumtoa kama ""BANGUSILO"" mwanyika!! wakati steling CHENGE alikua ndie mhusika??? sasa picha inaanza kuja ndio maana alinukuliwa na vyombo vya habari akisema yeye hausiki hata kidogo...duhh siasa mchozo haram bwana...JF kazi kwenu..MKJJ upo babu?
 
..ndo Tanzania ya leo hii, 2+2=5. Nashangaa watu wapojiuliza kwa nini Chenge amechelewa kujiuzulu, come on!! wake up wadau, the guy had to go and talk to the big fish kwanza apewe baraka zao, anyway tunashukuru at least ametolewa kafara yeye muhusika ila on the other hand, Mwanyika naye should go, yes i said it he should go coz we dont need another mess 10 years as an Attorney General.
 
wazara ya sheria kuna mbwa wa kulinda mikataba feki kwa taifa hili,sasa tuwaondowe wote kwenye wizara......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom