Sasa naanza kuamini yule kijana aliyemkwida JK miguu Mwanza wakati wa kampeni

Jamaa amenikumbusha mwandishi wa habari aliyemvurumishia Kiatu Bush. Kiatu kile nasikia kimeuzwa bei mbaya kweli.
 
Hawa ndoo watu. Wanajua mbele kama nyerere! Nimempenda mara 100∅0000!
 
Nimekumbuka jinsi mkulu alivyokwidwa pale uwanjani lilikuwa tukio la kushangaza. Inawezekana kijana alifunuliwa kwamba kikwete hafai kwa urais.
 
Kama nakumbuka vizuri kuna siku nilisoma kwenye gazeti kuwa alifariki akiwa jela. Sina uhakika sana na hili. Back to the point huyu alitaka kujitafutia umaarufu wa kijinga, naunga mkono aliyemwita muhuni

Sasa uhuni wake nini (huyo kijana wa watu)??
Kuna mambo hayanaga usasa, na unapoyaingia lazima upimwe na uwe challenged na taratibu za huko...
JK na u-chief wa kisukuma wapi na wapi???
AU EL alipopewa kile cheo cha uzee wa kimaasai sijui "olegwanani" pia baadhi ya wamaasai walilalamikia sana hilo!
Mamo ya kimila yanaprotocal zake wanasiasa wakijipendekeza huko lazima waumbuke...
 
Kosa alilofanya ni kutokusema utabiri wake. Angeeleza ni kwa kuwa mkuu hafai, na haya yakatimia kama tunavyoona, angesamehewa na kulipwa faini kubwa kabisa.
 
Back
Top Bottom