Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 961
- 2,345
Washakaji wanaodata wanaishushia hadhi ndumu ila ndumu haina tatizo na mtu.Mabange
Dah! Sitaisahau siku ya kwanza kuivuta nikaenda kuangalia TV sasa kila nikiangalia mtangazaji anavyotangaza taarifa mm nikawa nacheka hasa.. Mpaka machozi yananitoka yaani mpaka leo nikiwaza kilichokuwa kinanichekesha hakipo.Washakaji wanaodata wanaishushia hadhi ndumu ila ndumu haina tatizo na mtu.
Mabange