Sasa mtaamini waafrika si Binadamu kamili. Burning and Looting

Mara zote huwa tunawalaumu wazungu kwa kututawala kikoloni lakini ninaamini kabisa kuna mantiki kubwa katika ukoloni ule uliofanyika.

Muafrika ni nyani tu anahitaji monitoring ya kiakili na kisaikolojia!

Akili za watu weusi ni duni mno haziwezi kitu!

Ukoloni ulikuwa mfumo bora sana wa kumuongoza nyani huyu mwenye rangi nyeusi!
Mkuu upo sahihi kwa 2000%
 
Hata kama una hasira kiasi gani, huwezi kusema waafrika ni nyani.

Labda kama wewe si mwafika na watumia kivuli cha kutoa maoni kutaka kusema kitu yaani "justification"

Hiyo ni kwasababu wafahamu fika kwamba waafrika na hao wanyama wapo tofauti.

Au waendesha farasi wawili kwenda njia tofauti?
LOOOOOO
 
lete utafiti ulioonyesha kwamba wa South wanafanya ngono na kunywa pombe zaidi ya Watanzania na Waafrika wengine.

lakini nyinyi ambao sio wavivu, kwa nini mmeshindwa kuendeleza kwenu?
Watu wanavyowasema wa south Africa kwa uvivu unaweza kusema watanzania wote ni hard working na wote wana maisha mazuri.
 
Historia ipo hivi; mtu yeyote aliyetaabishwa katika sehemu kubwa ya maisha yake hadi kuwa "trumatized" naye akipata nafasi anayoweza kulipiza basi huitumia nafasi hiyo kwa kuvuka mipaka, unaweza kuona mfano huo sio kwa Waafrika kusini tu bali hata kwa Waisraeli dhidi ya Wapalestina, waisraeli bado ni trumatised na Mauaji yao kutoka kwa Hitler, kama jinsi Waafrika kusini ni trumatised kutoka kwa utawala wa zamani wa Makaburu.

Ukosefu wa ajira kwa vijana wengi wa kisouth ni kama bomu la masaa (time bomb) huwezi jua ni muda gani litalipuka, na likilipuka ndiyo hayo matukio tunayoyaona, ni kama homa ya vipindi.

Madhali jambo la ajira halitopatiwa ufumbuzi basi kadhia za aina hizo n8 muhali kuisha huko Sauzi.
Mbona wapinzani wa bongo wanakandamizwa sana lakini hawafanyi mambo ya kipuuzi kama hayo ?
 
Wananchi was Afrika ya kusini hawakuwa na nafasi hats kidogo ya kuweza kuwashinda makaburu bila msaada mkubwa wa hali na Mali toka mataifa mengine ya Afrika chini ya front line states zikiongozwa na Tanzania na ufadhili wa mataifa ya kiafrika chini ya OAU! Hilo hawalikumbuki!
Tenda wema
nenda zako
husingoje shukrani
ukingoja shukrani utakuja chelewa.
 
Tatizo elimu, hao watu sidhani kama wanakwenda hata shule, wazungu wamewaacha wajikite zaidi kwenye ngoma zao za kienyeji huku wao wakiendesha uchumi na mambo yote muhimu nyuma ya pazia
Kama kawaida kulaumu wazungu. Ulitaka wazungu wafanye nini wakati ni upumbavu wao wenyewe hao watu
 
WATU HAWA WOTE NI KIZAZI CHA ZINAAA,HAWAJALI UTU WALA HAWAUJUWI UTU NI KITU GANI,WAMELETEWA UKIRISTO LAKINI HAUKUWASAIDIA KUBADILI TABIA,WENGI WAO UTAWAKUTA MAKANISANI KILA JUMAPILI,LAKINI NA HUKU NI WASHIRIKINA WANAOAMINI MIZIMU NIWENGI SANA .
NDIO MAANA TAIFA LILE LINASHIDA HATA KUISHI MTU WA KAWAIDA .INAWEZA KUWA UMEKWENDA KUTAFUTA BIASHARA ZAKO UKAHEZEA KIBANO AU KUUWAWA ,SI NCHI SALAMA KIBIASHARA,
TATIZO SI UAFRIKA,BALI UBAYA WA WATUTANGU ASILI.WENGI HUJINASIBU KWA MAJINA YA UKOO WA MAMA ZAO,KWANI BABA HAWANA KABISA,NA WALA HAWAWAJUWI,
 
Nyie wapuuzi mnaosema waafrika wote ni nyani kisa upumbafu wa wasouth africa wachache... nyie ni wapuuzi na mnapaswa kupuuzwa..

Mimi binafsi sio nyani.. labda wewe hapo..

Pia ujinga wa wasouth wachache huwezi kugeneralize na kufanya ni mambo ya waafrika wote..huo ni ukosefu wa akili
 
Mbona wapinzani wa bongo wanakandamizwa sana lakini hawafanyi mambo ya kipuuzi kama hayo ?


Bado hawajapata nafasi ya madaraka, wakipata ndipo tunaweza kuwajua undani wao.

Ni mawazo yangu tu hayo, inawezekana sipo sahihi.
 
Kama kawaida kulaumu wazungu. Ulitaka wazungu wafanye nini wakati ni upumbavu wao wenyewe hao watu
Sidhani kama una akili, hao wazungu walitakiwa warudi kwao uholanzi wawachie nchi yao kama ilivyofanyika kwa nchi nyingine kama Tanzania
 
Hapa watu wanaseema unaweza fikiri ni binadamu sana but tunatofautiana utaifa tu ila spirit ya mtu mweusi ni ile ile.
Hapa si mlikuwa mnaua albino na kuwaita "dili"?!!
Jiangalieni vizuri hamna ubaguzi wowote nyie?
 
Na bado wanadai wao si nyani.

Hapa watu wanaseema unaweza fikiri ni binadamu sana but tunatofautiana utaifa tu ila spirit ya mtu mweusi ni ile ile.
Hapa si mlikuwa mnaua albino na kuwaita "dili"?!!
Jiangalieni vizuri hamna ubaguzi wowote nyie?
 
Back
Top Bottom