Sasa mnaoa ili iwaje? Hebu angalia hii familia

Love is a beautiful thing created by GOD, who finds a wife/Hubby find a good thing.

Usiwapotoshe wenzako wakapata doubt kuhusu ndoa kisa hiyo ndoa ya jamaa yako inayoonesha wamejaa viburi + dharau.
Ninahisi hujawahi kuingia kwenye ndoa (samahani sana kama nitakukwaza).

Wanawake au wasichana wengi ambao hawajaingia kwenye ndoa huwa wana 'fantasaizi' mambo ya ajabu sana kuhusu ndoa. Huwa wanadhani ndoa ni kitu kitamu sana, full time ni mautamu tu, muda wote watadekezwa, muda wote hubby wake atakuwepo kwa ajili yako, muda wote atakuwa nae, kila siku atamletea zawadi, hubby hawezi kucheat, Hawezi kuchelewa nyumbani, muda wote wataenjoi yani mapenzi yatakuwa matamu muda wote!!

Wanawake wengi nahisi huwa wanadhani wanaolewa na malaika, huwa hawafikirii kabisa uwezekano wa huyo "hubby" wao kufanya kosa lolote hivyo huwa hawajiandai kabisa na changamoto..

Mara nyingi kile huwa wanaenda kukikuta kwenye ndoa ni tofauti kabisa na walichokuwa wanatarajia..
 
acha mipasho,jamaa kaandika mambo yanayoleta shida kwenye ndoa nyingi. Walio kwenye ndoa wajitafakari. Kila ukipewa stori za ndoa,nyingi hazitofautia sana ni shida tu
Waafrika ndio tunaevolve kwenye hii ishu ya ndoa, na imani zetu za kidini zitatugharimu sana...

Kule Japan ilifika kipindi watu hawaoani kabisa, serikali ikawa inatoa zawadi kwa watakaooana ili kuincourage ndoa. Hii stage tunaikaribia. Ndoa ni majanga na ni upuuzi mtupu, ifike muda kama mtu anataka mtoto aandae tu mazingira ya mtoto kukua bila kulazimika kuwa kwenye ndoa. Dunia itakuwa na amani sana.
 
Wajinga sana hao wanandoa, walipaswa wapate semina nzuri ya Ndoa.
 
Back
Top Bottom