sasa mmea unaanza kuchipua

ngapu

Member
Nov 18, 2012
41
1
Sasa mmea unaaza kuchipua kwa kweli katika jf nimefanikiwa ndoto yangu niwepata nilichokua natafuta nashukuru kwa collective leadership
 
Habari njema hii..!!

Hongera sana ndugu, nawatakia kila la heri..!!
 
Habari za leo wana jf kwa ukwe nipo na happy sana mambo yamekua mambo kama naota ukitaka undani njoo hapa kwa @ yako
 
MDOTO YANGU IMEKUA KWELI .KICHWA CHA HABARI .habari wana jf. Kwa wenye happy siku ya leo hongereni na kwa wenye plaintive yaani hudhuni au majonzi poleni sana.mimi mr nimefanya plantation katika collective farm yaani nimepanda katika shamba la uma sasa na harvest yaani navuna mazao nipeni hongera wote ahst
 
Eeeh.. Ndugu, unataka hongera mara ngapi??

Hongera ulizopata jana hazijatosha tuu..!!

Nakushauri kwa wakati huu endelea kumshukuru Mungu wako..!!
 
Back
Top Bottom