Sasa Magufuli kuhamishia vita kwenye mikataba & sekta ya Oil & Gas

banner_Industries_OilGas.jpg

The word is Mheshimiwa ana nondo zote na tayari kazi ishafanyika hivyo kaeni mkao wa kula. Na hapa kuna marais wawili wastaafu (mkwere na chinga) hawatokuwa na pa kuchomokea. Mtaelewa kwa nini Manji hatotoka ndani miaka 2 ijayo.

Stay Tuned...
Aliyoyaanzisha mpaka sasa yameleta Tija gani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
banner_Industries_OilGas.jpg

The word is Mheshimiwa ana nondo zote na tayari kazi ishafanyika hivyo kaeni mkao wa kula. Na hapa kuna marais wawili wastaafu (mkwere na chinga) hawatokuwa na pa kuchomokea. Mtaelewa kwa nini Manji hatotoka ndani miaka 2 ijayo.

Stay Tuned...
Vululu vululu kazini hadi tuanze kupnga foleni za chumvi na mafuta ndio roho yake itafurahi.
Mkone kuchagua ma-sadist
 
Ebu tupeni break kwanza na hizi bolingo zenu,kama Taifa tupo ktk maombi mazito ya kumwombea shujaa Tundu Lissu.
 
Ebu tupeni break kwanza na hizi bolingo zenu,kama Taifa tupo ktk maombi mazito ya kumwombea shujaa Tundu Lissu.
Usiseme kama Taifa tuliyekaa kwa majonzi Taifa ni Nyerere tuu...
Kuna watu wanauliwa kibiti umeshawahi kuzionea huruma familia zao?..au kisa mwanasiasa?.
 
banner_Industries_OilGas.jpg

The word is Mheshimiwa ana nondo zote na tayari kazi ishafanyika hivyo kaeni mkao wa kula. Na hapa kuna marais wawili wastaafu (mkwere na chinga) hawatokuwa na pa kuchomokea. Mtaelewa kwa nini Manji hatotoka ndani miaka 2 ijayo.

Stay Tuned...
Asante kwa taarifa. Bahati nzuri ilioje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawakilisha waTz wangap, eti machoz ya waTz

Wewe endelea kula bata.. Wenye uchungu na watanzania watakuja sio kujiona wewe ni mfalme.

Hata simba alijitambua anafanya kazi kwa ufanisi mkubwa leo hata kushika maiki inateleza, machozi yanamtoka na alikuwa na kauli kama.za kwako.

Wanaolia kwa namna moja au nyingine ni wengi sio mmoja na hawapati majibu. Majibu ni kama ya kwako. Hongera sana.
 
Back
Top Bottom