myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 147,447
- 655,112
wewe nawe unapingana mpaka waliotoa pole ya majeruhi!!Asonge mbele tu asitishwe na wanaofanya shooting location na kutaka kujiua ili kututoa njia kuu!

Aliyoyaanzisha mpaka sasa yameleta Tija gani ?
The word is Mheshimiwa ana nondo zote na tayari kazi ishafanyika hivyo kaeni mkao wa kula. Na hapa kuna marais wawili wastaafu (mkwere na chinga) hawatokuwa na pa kuchomokea. Mtaelewa kwa nini Manji hatotoka ndani miaka 2 ijayo.
Stay Tuned...
Vululu vululu kazini hadi tuanze kupnga foleni za chumvi na mafuta ndio roho yake itafurahi.
The word is Mheshimiwa ana nondo zote na tayari kazi ishafanyika hivyo kaeni mkao wa kula. Na hapa kuna marais wawili wastaafu (mkwere na chinga) hawatokuwa na pa kuchomokea. Mtaelewa kwa nini Manji hatotoka ndani miaka 2 ijayo.
Stay Tuned...
akiri!!!!hana jipya. huwezi kutatua tatzo kwa kutumia akiri iliyotumika kuleta tatizo hilo,
true.Aliyoyaanza yalete tija kwanza ndio ahamie kwingineko.....
Hapa kwenye gesi tulipigwa mchana kweupe
The word is Mheshimiwa ana nondo zote na tayari kazi ishafanyika hivyo kaeni mkao wa kula. Na hapa kuna marais wawili wastaafu (mkwere na chinga) hawatokuwa na pa kuchomokea. Mtaelewa kwa nini Manji hatotoka ndani miaka 2 ijayo.
Stay Tuned...
Usiseme kama Taifa tuliyekaa kwa majonzi Taifa ni Nyerere tuu...Ebu tupeni break kwanza na hizi bolingo zenu,kama Taifa tupo ktk maombi mazito ya kumwombea shujaa Tundu Lissu.
Asante kwa taarifa. Bahati nzuri ilioje.
The word is Mheshimiwa ana nondo zote na tayari kazi ishafanyika hivyo kaeni mkao wa kula. Na hapa kuna marais wawili wastaafu (mkwere na chinga) hawatokuwa na pa kuchomokea. Mtaelewa kwa nini Manji hatotoka ndani miaka 2 ijayo.
Stay Tuned...
Badala ya kusema machozi yangu anasema ya watanzania. Akiambiwa wako wapi hana wakuwaonyeshaUnawakilisha waTz wangap, eti machoz ya waTz
Heri kijana maskini mwenye hekima, kuliko mfalme mzee mwenye kipara mpumbavu ambaye hawezi kupokea maonyo tenaAsonge mbele tu asitishwe na wanaofanya shooting location na kutaka kujiua ili kututoa njia kuu!
Unawakilisha waTz wangap, eti machoz ya waTz
BashiteViwanda kamwachia nani???
wazimu sio lazima uvue nguoAsonge mbele tu asitishwe na wanaofanya shooting location na kutaka kujiua ili kututoa njia kuu!