Sasa kuna kila dalili za Trump kuwa impeached na Congress ili avuliwe maradaka ya uraisi, lakini Senate inaweza isimtie hatiani na kumvua uraisi

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,141
18,769
Baada ya ushahidi wa Cohen, aliyekuwa mwanasheria binafsi wa Trump, sasa ni wazi kwamba Congress ya Marekani ambayo ina Democrats wengi zaidi itachukua uamuzi wa kum-impeach raisi Trump ili aondolewe kutoka madaraka ya Uraisi wa Marekani. Ni wazi Democrats wanasubiri ripoti ya Mueller anaechunguza kama Trump alishirikiana na Urusi ili kufanikisha kuchaguliwa kwake kuwa raisi. Kuna kila dalili kwamba ripoti ya Mueller itazidi kupigilia misumari kwenye jeneza la Trump, hivyo Democrats wanaisubiri ili kulipa suala la impeachment uzito unaostahili, zaidi ya ushahidi wa Cohen dhidi ya Trump.

Hadi sasa ushahidi wa Cohen kwa kamati ya Congress umeonyesha kwamba Trump amekuwa akidanganya na ana makosa ya jinai kutia ndani yanayohusu kodi na matumizi ya fedha kinyume cha sheria kipindi cha kampeni. Na pia kumekuwa na tuhuma za kutisha watu au taasisi mbalimbali ili wasitoe taarifa mbaya dhidi yake.

Kimsingi, Raisi wa Marekani hawezi kushitakiwa kwa makosa ya jinai akiwa bado raisi. Linalotakiwa kufanywa ni Congress kumuondoa madarakani kwanza kwa impeachment. Congress ikisha muondoa kwa impeachment, suala lake litapelekwa Senate ambapo kamati ya Senate itakaa na kupendekeza kwamba Senate ikae kama mahakama ili kuamua juu ya tuhuma zilizosababisha awe impeached na Congress. Ikiwa Senate itamtia hatiani Trump kutokana na sababu zilizofanya Congress imu-impeach, basi huo ndio utakuwa mwisho wa urais wa Trump.

Hata hivyo, ikumbukwe kwamba Congress inatawaliwa na Democrats, kwa hiyo suala la impeachment ya Trump ni rahisi sana. Senate inatawaliwa na Republicans kwa hiyo kuidhinishwa kwa impeachment ya Congress kwa kumtia hatiani Trump itakuwa sio rahisi.

Ikumbukwe kwamba Raisi Trump akiondolewa madarakani, Makamu wa raisi Mike Pence atachukua uraisi ili kumalizia awamu iliyopo. Na baada ya hapo anaweza kugombea uraisi awamu mbili zijazo, kwa kuwa hii aliyochukua uraisi toka kwa Trump haitahesabika kama ni awamu yake.

Kwa jinsi hiyo basi, Republicans wanaweza kuamua Trump aondoke ili kujipa nafasi za kushika uraisi kwa awamu tatu, hasa wakijua kwamba sio rahisi kwa Trump kushinda uchaguzi ujao kama asipoondolewa madarakani kwa impeachment.

Kwa jinsi hiyo, watakaofaidika na impeachment ya Trump ni Republicans! Democrats wakijua hilo wanaweza wasichukue hatua kum-impeach Trump ili wajitahii kumshinda uchaguzi ujao.

Source: Mimi mwenyewe kwa uelewa wangu wa siasa za USA
 
Kwa jinsi hiyo, watakaofaidika na impeachment ya Trump ni Republicans! Demorats wakijua hilo wanaweza wasichukue hatua kum-impeach Trump ili wajitahii kumshinda uchaguzi ujao.

Why ? Michael Cohen is a convicted lier and a felony .Unafungwa ukidanganya Congress na Democratic Party wamemleta muongo kuwafanganya tena .No Russia collusion sasa wanatafuta vingine.
 
Kwanini boss mostly ya post zako unapenda kukosoa kwa lugha za maudhi?
Because you need to read America constitution.Michael Cohen is a convicted felony and a lier .American media is Democratic one sided
 
Huna uelewa wowote ule...unapaste vitu usivoelewa.

Hakuna chama chenye majority ya kumuimpeach jamaa.

Sasa unavosema Dems wako wengi unaonekana punguani
Yaani wewe mbulula kihiyo sana. Punguani ni wewe usiejua Congress inashikiliwa na Democrats kwa sasa kwa wingi wao na Senate ni Republicans kwa wingi wao. Kwa nini Trump ametangaza hali ya emergency, si baada ya Democrats kutumia wingi wao kwenye Congress kumkatalia fedha za wall? Sasa kadi ya Congress kumu-impeach Trump kwa nini wasiwe nayo? Na Democrats wameshajihakikishia Republicans watatu kumu-impeach Trump, ambao tayari wametangaza hadharani kwamba watapiga kura kumu-impeach ingawa wao ni Republicans. Wanao-impeach ni nani, sio Congress? Sasa usichoelewa hapa nini? Unaonyesha tu utaahira wako humu kujifanya unajua kumbe huna kitu. Tupishe kabebe boksi huko.

Rudia kusoma hapa acha kuonyesha umbulula wako;

"Hata hivyo, ikumbukwe kwamba Congress inatawaliwa na Democrats, kwa hiyo suala la impeachment ya Trump ni rahisi sana. Senate inatawaliwa na Republicans kwa hiyo kuidhinishwa kwa impeachment ya Congress kwa kumtia hatiani Trump itakuwa sio rahisi."
 
Baada ya ushahidi wa Cohen, aliyekuwa mwanasheria binafsi wa Trump, sasa ni wazi kwamba Congress ya Marekani ambayo ina Democrats wengi zaidi itachukua uamuzi wa kum-impeach raisi Trump ili aondolewe kutoka madaraka ya Uraisi wa Marekani. Ni wazi Democrats wanasubiri ripoti ya Mueller anaechunguza kama Trump alishirikiana na Urusi ili kufanikisha kuchaguliwa kwake kuwa raisi. Kuna kila dalili kwamba ripoti ya Mueller itazidi kupigilia misumari kwenye jeneza la Trump, hivyo Democrats wanaisubiri ili kulipa suala la impeachment uzito unaostahili, zaidi ya ushahidi wa Cohen dhidi ya Trump.

Hadi sasa ushahidi wa Cohen kwa kamati ya Congress umeonyesha kwamba Trump amekuwa akidanganya na ana makosa ya jinai kutia ndani yanayohusu kodi na matumizi ya fedha kinyume cha sheria kipindi cha kampeni. Na pia kumekuwa na tuhuma za kutisha watu au taasisi mbalimbali ili wasitoe taarifa mbaya dhidi yake.

Kimsingi, Raisi wa Marekani hawezi kushitakiwa kwa makosa ya jinai akiwa bado raisi. Linalotakiwa kufanywa ni Congress kumuondoa madarakani kwanza kwa impeachment. Congress ikisha muondoa kwa impeachment, suala lake litapelekwa Senate ambapo kamati ya Senate itakaa na kupendekeza kwamba Senate ikae kama mahakama ili kuamua juu ya tuhuma zilizosababisha awe impeached na Congress. Ikiwa Senate itamtia hatiani Trump kutokana na sababu zilizofanya Congress imu-impeach, basi huo ndio utakuwa mwisho wa urais wa Trump.

Hata hivyo, ikumbukwe kwamba Congress inatawaliwa na Democrats, kwa hiyo suala la impeachment ya Trump ni rahisi sana. Senate inatawaliwa na Republicans kwa hiyo kuidhinishwa kwa impeachment ya Congress kwa kumtia hatiani Trump itakuwa sio rahisi.

Ikumbukwe kwamba Raisi Trump akiondolewa madarakani, Makamu wa raisi Mike Pence atachukua uraisi ili kumalizia awamu iliyopo. Na baada ya hapo anaweza kugombea uraisi awamu mbili zijazo, kwa kuwa hii aliyochukua uraisi toka kwa Trump haitahesabika kama ni awamu yake.

Kwa jinsi hiyo basi, Republicans wanaweza kuamua Trump aondoke ili kujipa nafasi za kushika uraisi kwa awamu tatu, hasa wakijua kwamba sio rahisi kwa Trump kushinda uchaguzi ujao kama asipoondolewa madarakani kwa impeachment.

Kwa jinsi hiyo, watakaofaidika na impeachment ya Trump ni Republicans! Demorats wakijua hilo wanaweza wasichukue hatua kum-impeach Trump ili wajitahii kumshinda uchaguzi ujao.

Source: Mimi mwenyewe kwa uelewa wangu wa siasa za USA
Tatizo lako unaangalia media kama CNN, CNBC, ABC au NBC kaangalie na Fox vilevile, Trump hawawezi kumtoa hapo hata Dems wanajua wasubirie kwa debe, wanachofanya ni kutaka kumpunguzia nguvu ilia kamprni zikifika wamashambulie sawasawa. Na ujue Republican wanatawala Seneti hivyo hawatakubali hilo litokeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni tatizo lako wewe. Mimi natoa maoni kutokana na uelewa wangu. Maoni yangu yako based kwenye kujua mambo mawili tu - Congress iko chini ya Democrats na Senate chini ya Republicans. Impeachment inaanzia Congress, na kupelekwa Senate. The rest ni simple analysis. Mie sio mtu wa kukariri CNN sijui kama wewe ndio ni-post.

Watu wenye ujuzi mdogo wa haya mambo ndio wenye midomo mikubwa kuongea.
 
Back
Top Bottom