Sasa Jf Ihamishie Nguvu Huku

Tuandamane

JF-Expert Member
Feb 2, 2008
1,220
50
Ndugu wana JF ningependa kutoa pongezi kubwa kwa kazi nzuri inayofanywa nanyi nyote, matunda yanaonekana hata kwa kiziwi na kipofu, sasa ningependa kutoa ushauri wa kuhamishia moto kwa kushinikiza MANYIKA, HOSEA-TAKUKURU kuachia ngazi

HAniingii akilini kuona kuwa hawajamaa wanatuhumiwa na kamati ya Harrison halafu bado wako kwny kamati inayochunguza tumuma zinazowahusu
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,917
287,618
Hatuna serikali ndiyo maana hawa jamaa bado wapo madarakani. Labda tutakapopata serikali basi wanaweza kufukuzwa kazi kwa manufaa ya umma.
 

Ogah

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
6,228
1,516
Yes it is time Mwanyika, Hosea na Mgonja kuondoka...........sijui wanasubiri nini

Pinda Mtihani wako wa kwanza kutoka kwa JF ni kutekeleza mapendekezo ya tume ya Mwakyembe kuhusu Hosea na Mwanyika......
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom