Uchaguzi 2020 Sasa jamani, hawa CHADEMA wanataka twende na Tundu Lissu wapi?

JOYOPAPASI

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
250
408
Wanataka twende naye akatetee ACACIA kutufisadi?

Ni ngumu kwenda naye; wanataka twende naye kwenye sera ya kuwatetemekea wazungu. Anaweza toka Ubelgiji kwenda UK na Marekani kuongea, ila kutoka Ubelgiji aje Tanzania kuleta taarifa za afya yake na kujaza kiapo cha mali hawezi hata kukijaziwa na mawakili, ila aliweza fungua na kuendesha kesi ya kuvuliwa ubunge akiwa Ubelgiji.

Wanataka twende naye wapi? Kule tukampokee na kuchangamana naye ila kesi mahakamani yuko karantini.

Twende naye wapi wakati Singida alikuwa anazuia miradi ya wananchi, anasema serikali ijenge kwani ndio inakusanya kodi wakati sekta binafisi inajenga na kuwa na miradi na hata mtu mmoja mmoja, maendeleo na alivyonavyo kwa ajili yake na jamii hakusanyi kodi

Wakiwa wanaomba ridhaa wanasema watafanya ila wakipata wanakuambia hawakusanyi kodi na hata maendeleo ya vitu wanayaponda ila utakuta wakifika Ubungo wanapita juu wanasema maendeleo ya watu na sio vitu. Unajiuliza maji, afya, umeme, barabara na yote yaliyofanyika sio kwa ajili ya watu? Twende wapi naye wakati vitu kwa ajili ya maisha ya watu mpaka wazungu wameona impact wakatuweka middle income wao wanasema sio.

Wanazungumza maisha ya kabla 2015 ndio maisha, wakati muda huo nchi ilitafunwa kwa namna hata wao walisema tunahitaji Rais anayeweza kufanya maamuzi. Wanafurahia maisha fedha zilikuwa zinawekwa kwenye masandarusi na ikasemekana account mtu kwa siku aliweza toa zaidi ya 3 billion.

Huko wanakosema wapi afadhali umewauliza wapi tena?

IMG-20200630-WA0351.jpg
 
View attachment 1524592
Lissu kwa Tanzania mpya yenye demokrasia na maendeleo ya kweli.
 
Back
Top Bottom