Sasa Imethibitika Profesa Kabudi Kafeli

Aug 29, 2017
90
154
Mbwembwe nyingi za nguli wa sheria Profesa Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi mara tu baada ya kuteuliwa kuchukua nafasi ya uwaziri sasa zimefika tamati.

Hii inaweza kuhusishwa na ugumu wa nafasi aliyopewa, kukosa uwezo au hata ufanisi wa viongozi wake wakuu kwa maana ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

Toka picha ya makinikia ishindwe kuendelea kutokana na huo huo uwezo wa Profesa Kabudi, leo kaja na hili suala la Airtel na mabilioni ya shilingi.

Najiuliza haya mabilioni kutoka Airtel yanalipwa lipwa kwa misingi ipi au ni zile zile hekaya za Abunuasi.

Kabudi kashindwa ......
 
Kwanini unaandika mambo usiyojua ukweli wake? Acha kujiabisha.
 
..Airtel wanatupa bilioni 12 kwa mwaka.

..serekali inatumia bilioni 14 kwa ajili ya matengenezo ya ndege.

..na matengenezo hayo yanafanyika ktk karakana za MABEBERU.

..Je, nikisema ATCL ni KUPE nitakuwa nimekosea?

Cc MTAZAMO
 
Mbwembwe nyingi za nguli wa sheria Profesa Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi mara tu baada ya kuteuliwa kuchukua nafasi ya uwaziri sasa zimefika tamati.

Hii inaweza kuhusishwa na ugumu wa nafasi aliyopewa, kukosa uwezo au hata ufanisi wa viongozi wake wakuu kwa maana ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

Toka picha ya makinikia ishindwe kuendelea kutokana na huo huo uwezo wa Profesa Kabudi, leo kaja na hili suala la Airtel na mabilioni ya shilingi.

Najiuliza haya mabilioni kutoka Airtel yanalipwa lipwa kwa misingi ipi au ni zile zile hekaya za Abunuasi.

Kabudi kashindwa ......
Nonsense from the craps so called Ba vichaaa!

Hata mambo ya hisa zetu toka TTCL,CELTEL, ZAIN na hivi sasa ZAIN bado hamuwezi kupambanua ?mnatuletea uharo wa threads mfu kama hizi.

Majizi utayajua tu!

Aibu kwenu mlizowea short cuts za matanuzi ya magari ya kelele mitaani kwa fweza za wizi sasa mtaisoma namba....nahii ni mpaka 2025 na baadae ni majaliwaaaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka tupate uhuru mnatawala baada ya mkoloni hakuna mnachokifanya zaidi ya kucheza "Nyegezi"
Ccm joka kuu
 
Back
Top Bottom