Elections 2010 Sasa hivi vita ni kati ya Chenge na Samweli 6: vita ya JK na Dr.Slaa finish!

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Tumesikia mengi sana kati ya JK na Dr.Slaa! sasa tusubiri tuone hii vita ya Chenge na Samweli sita itaishia wapi kuhusu kinyanganyiro cha kugombea Uspika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa TZ! Yetu macho.
 
Achana na Chenge HAVARD yake haimsaidi anafikiri USPIKA utafunika DHAMBI za RADA- akapumzike ale vijisenti vyake aachane kabisa na Bunge la 10 mapafu yake yameisha nguvu ya kupambana na wanaume kama akina LISU- ukweli ni kwamba CHENGE HAJIPENDI KATIKA HILI. LAKINI NISISEME MENGI INAWEZEKANA KATUMWA NA MKUU WA MAFISADI YOU NEVER KNOW WE CAN BE SUPRISED BY CHAMA CHA MAJAMBAZI
 
hakuna aliye msafi hata mmoja na ndio maana wanaigiza mwisho wa siku sitta atabaki na ataukumbatia ufisadi kama mwingine yeyote kutoka ccm atafanya akipata post hiyo!:doh:
 
Achana na Chenge HAVARD yake haimsaidi anafikiri USPIKA utafunika DHAMBI za RADA- akapumzike ale vijisenti vyake aachane kabisa na Bunge la 10 mapafu yake yameisha nguvu ya kupambana na wanaume kama akina LISU- ukweli ni kwamba CHENGE HAJIPENDI KATIKA HILI. LAKINI NISISEME MENGI INAWEZEKANA KATUMWA NA MKUU WA MAFISADI YOU NEVER KNOW WE CAN BE SUPRISED BY CHAMA CHA MAJAMBAZI

katumwa huyu we huoni hata style yake ya kuchukua form plus PCCB kumtangaza hana hatia ...hahaaa sio bure huyu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom