Sasa hivi kuna watu wanasema Rais Magufuli ananyoosha nchi lakini ukiaangalia vizuri utagundua 'kinachonyooshwa' ni maisha yao

mr yamoto

JF-Expert Member
Oct 2, 2016
923
1,393
Kila Nyerere alipotaka kustaafu kuna watu walimwambia nchi haiwezi kuendelea bila yeye, baadae aligundua wanaposema nchi wanamaanisha familia zao hivyo 'AKANGATUKA'.

Sasa hivi kuna watu wanasema Rais Magufuli (JPM) ananyoosha nchi lakini ukiaangalia vizuri utagundua 'kinachonyooshwa' ni maisha yao

Bob Marley once said " How long shall they kill our Prophets and why we stand aside and do nothing"

Inside my heart i know the pain we are creating and him deep it goes. Wakae wakijua tu tulishavuka mstari wa kuogopa and we will not stop no matter what!...

mr yamoto.
 
Mtanzania aache kujifungia na mke wake nakuangalia familia yake aanze vurugu, labda wanywa viroba na mateka kwa maagizo ya wafadhili wao ambao wao huchochea mitandaoni na si kujitokeza hadharani
 
Tukishindwa sisi kuna kizazi kitakuja !!!
 
Mwendo wa Magufuli naungana naye 100%,watanzania tulipitiliza kea mambo ya kishenzi na kipuuzi.

Hapo nyuma ukiingia kwa ofisi ya umma unafka unataftiwa kosa ili tu usihudumiwe na wahudumu,ila ukijarbu kujieleza utasikia unanijua mmi ni Nani?.
Hayo ndo mambo ya kipuuzi ambayo hayakupaswa kuwepo ofisi za umma,pia viongozi waelewe wao wamechaguliwa sabbu ya wananchi,na kama wananchi wasingelikuwepo kusingelikuwepo uhitaji was viongozi

Tuwahudumie watanzania
 
Kwanini ni watanzania wote walikuwa washezi au ni CCM ?

Ni nani atakae weza kuiba 1.5Trillion kwenye serikali ni mtanznia wa pale ubungo au kiongozi aliyekuwa CCM?
 
Unaongea usicho kijua, Kila mtanzania akiwa serikalini ni CCM?.
Na Kila mtu mwizi tokea ngazi za vijiji aliyekuwa anapiga pesa za wizi alikuwa ni CCM?.
Kila wzi kwenye mashule,mahospitali na vyuo ulio kuwa unafanyika wooote ulikuwa ukifanywa na wanachama was CCM?.
Siyo Wana CCM,upinzani na hata wasiokuwa na vyama ilo mradi akiwa serikalini,kama alikuwa na nafasi alikuwa anapiga.

Taifa lako lilifikia hapo
 
Unaweza pia na wewe unaongea usichokijua si kila mtanzania ni mwanaccm?

Je zile 1.5trillion zilipotea wapi? Nani alichukuwa na kwanini kwenye mali zetu tumekuwa wajinga kiasi hichi.
 
Hakunaga hela inaopotea: ikichukuliwa na mafisadi itatumiwa ama itawekwa benki na itarudi mitaani, ata ikipelekwa nje sio ela ya nchi ni dola tu: sasa huu mjadala haunaga sense unavokuzwa kama nchi iko kwenye vita
 
Tulikuwa tunasema hivi hivi wakati wa utawala uliyopita lakini jiulize ulikuwa tunamuongopea nani?
 
Uogope usiogope hio ndo kanuni: unajua kila mtu ana fungu lake duniani: hawezi sema eti umekua maskini kwa sababu eti trillion 10 imeondolewa kwenye huduma flan ikatumika sehem flan: yaaani ni sawa mtu awe tajiri useme saaahv ni ngumu kua tajiri kwa sababu mtu flan ameshakua tajiri: hizo ni akili za uongo: kila mtu ambae anauwezo wa kujiongezea kipato mda baada ya mda anaweza fika mbali sana katika maisha not unless umeajiriwa kwamba ni fixed:

Ata ukiangalia dunia ilivo: wanaolalamika kua hela ni ngumu ni sisi ambao tuna midomo sana: hata katika upindi kinachoaminika uchumi ni mgumu bado watu wanaingiza pesa: sasa changamoto ni tunakosea wap? tunashindwa wap?
 
Aiseee kuongoza watanzania ni rahisi sana. Unasema 1.5trillion hawezi kuondoa huduma flani ? Hizi tumezijua je ambazo uzijui gapi
 
Back
Top Bottom