Sasa hivi dispensary za kata za Serikali unalipia kila kitu. Hakuna tofauti na hospitali binafsi. Tozo tunazokatwa za kazi gani sasa?

Hata hospital kubwa kama mhimbili,za rufai zote zile za serikali kwa sasa gharama yake hakuna tofauti na za binafsi.
 
Wow huo ni mfumo mzuri bali ni wa kushangaza, maana Bima ni biashara, sasa sijui ni vipi wemye kuendesha bima wanajipatia faida ikiwa kila siku kazi yao ni kuwalipia wagonjwa wanaokwenda kupata matibabu kila siku na kupindukia na walicholipa kwenye bima.
Hilo ni somo jingine, ila sasa hivi muda wa kudadafua hilo sina. Kiufupi hata mimi nilishangaa zamani wajasilimali fulani wakiendesha biashara zao bure, eti matangazo ndio faida yao.

Kweli kama umesoma sayansi na wenzangu akina penguine ni vigumu kuelewa hilo, ila wenzetu wa biashara wanapeta tu hapo.
 
Mnashindwaje kuweka mawe na magogo njiani muwateke wanaoratibu kulipia hizo huduma za afya.
 
Ndugu achana na Hawa wanasiasa uchwara wanaosema matibabu bure.pesa za kuwanunulia magaidi chipsi zilipatikana lakini pesa za matibabu kwa raia wake Ni shida.hatuna serikali yenye dhamira njema kwa raia wake.
 
Of course upo sahihi, hatupaswi kucompromise afya zetu lakini unadhani ni sahihi kwa serikali kutokutoa huduma za afya kwa raia wake? Kodi tunalipa, tozo tunalipa, rasilimali kama vile madini na vitu vingine serikali inapata hela. Viongozi wanatembelea V8 za 500,000,000. Unadhani serikali bado haina wajibu wa kutoa huduma za afya bure kwa raia wake?
Achana na huyo mjita mjinga kwa jina la Mkaruka,na walamba Miguu wa Samia asikusumbue kichwa ni mpumbavu
 
Leo nimempeleka wife kumfanyia vipimo na matibabu nikidhani labda kwa sababu ni dispensary ya serikali huduma itakuwa bure lakini cha kushangaza kila kitu unalipia. Kuanzia kumwona daktari unalipia. Vipimo vyote unalipia, dawa zote unalipia. Kiufupi kila kitu unalipia kwa 100%.

Sasa nimeshindwa kuelewa serikali inaposema tunalipa kodi na tozo ili kuboresha huduma za afya. Huduma gani wanaboresha kama kila kitu tunalipia? Hii nchi sijui imelogwa na nani?
Walipokuwa wanaiba kwenye uchguzi ule haya ndio malipo yake.
 
Ndugu achana na Hawa wanasiasa uchwara wanaosema matibabu bure.pesa za kuwanunulia magaidi chipsi zilipatikana lakini pesa za matibabu kwa raia wake Ni shida.hatuna serikali yenye dhamira njema kwa raia wake.
Majitu ya hovyo sana hayo matapeli ya kisiasa
 
Kwa hiyo serikali inadanganya inaposema tulipe kodi na tozo ili iboreshe huduma za afya?
Kwani kuboresha ndio maana yake bure?Maboresho ni kuhakikisha huduma zinapatikana,affordabke,bora na endelevu.
Ukilinganisha gharama uliyoingia kupata hiyo huduma na gharama halisi za huduma hiyo mpaka kukufikia wewe ni tofauti.
 
Back
Top Bottom