Sasa hivi anashiriki lakini wala hakuna Mtanzania au Watanzania wanaomtakia kheri sasa subiri ashinde ndipo utauona Unafiki wa Wabongo

Minah24 habari zilizonifikia dakika 10 zilizopita kutoka katika Mtandao wa Gazeti la Daily Monitor ( Mtandaoni ) la nchini Uganda linasema kwamba Mlimbwende ( Mrembo ) kutoka nchini Uganda ( Miss Uganda ) aitwae Abenakyo ameshinda Taji la kuwa ' Miss World Continental Africa ' ( yaani Mrembo mzuri kuliko wote Barani Afrika. Tuendelee Kumuombe Queen Elizabeth wetu kwani anaweza akashinda Kipengele cha ' Wasindikizaji Bora wa miaka yote ya Miss World ' na akarudi na hilo Taji.

Nimejiskia vibaya sana jaman

Watupatie sasa tuzo ya wasindikizaji bora
Big brother Africa skuiz haipo???
Huko ata tunashindaga uku majonzi tu kila mwaka
 
Mhh hiv kwenye umiss uzuri auchangii kitu au .?
Insta-2018-04-08-06-04-44.jpg

That miss world from Mexico and Africa from Uganda
 
Back
Top Bottom