Sasa hii ni Sifa, Yanga imeamua kuwafuata Mbao FC huko huko kwao, Mchezo Kupigwa CCM Kirumba

Utopolo hii hata aje PSG atafungwa Tu.

Kucheza na utopolo ya sasa ni Sawa na kwenda na mwanamke geust ,,

Huku umekodi boda boda,

Bila kujuwa huyo boda boda
(GSM),
ndy mume halali wa huyo mwanamke (UTOPOLO).

Unadhani nn kitatokea?huko guest?

Ndy maana mnyama(simba) alishtuka mapema Sana kwa hili.
Wakati hata Namungo mlidhulumu la sivyo mlikuwa mmelala au unajisifu et PSG
 
Yanga ya sasa hata ukitaka mcheze chumbani kwako atakufunga tu
Umesoma lakini hiyo Barua na Kuielewa au Umedemka ( Umehemka ) tu Kuchangia?

Hivi kama Yanga SC ndiyo Mwenyeji na Wao ndiyo wameomba Mchezo huo ukachezwe CCM Kirumba hawa ( hao ) Mbao FC wanahusika vipi na Kupanga Uwanja wa Kuchezea Mchezo huo?

Muwe mnaacha Kukurupuka mkiwa JF!!!
 
Na meneja wa uwanja ni shabiki wao na ni mchawi saa yule jamaa.
Sasa hapo sifa ipo wakati umeambiwa kabisa uwanja wa taifa utakuwa na matumizi mengine? Sasa suala la yanga kuchagua uwanja hiyo imetokana na ukweli kwamba yanga ina mashabiki wengi zaidi Mwanza kuliko mkoa mwingine ukiachilia Dar.

Hiyo ni mikakati ya kuhakikisha ushindi unadhani kwanini hawakuchagua Jamhuri Dodoma ama Morogoro? Acha mihemiko. Dodoma ama Morogoro hana mashabiki wengi kiasi hicho bali Mwanza ambapo Yanga wana tawi lao pia ambalo ni Toto African ya Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio bahati nao.
Meneja wa uwanja ni shabiki la utopolo na huwa linaingiza wachawi usiku ili kiuisaidia yanga
Yanga imekuwa ikitumia uwanja wa CCM Kirumba kama uwanja mbadala miaka na miaka...

Kirumba ni kama nyumbani mbadala kwa Yanga na wamekuwa na bahati nao...
 
Sio bahati nao.
Meneja wa uwanja ni shabiki la utopolo na huwa linaingiza wachawi usiku ili kiuisaidia yanga

Hahah, mkuu kwa hiyo wachawi ndio wanaifanya Yanga ishinde?

Huyo meneja ni wa kuanzia miaka ya zamani enzi za Mwinyi?
 
Dar kuna viwanja viwili. Waache kutuchanganya kama vipi ofisi za tff zihamie huko huko gsm maana wameamua kuwa wamoja. Haiwezikani gsm wapange ratiba za mechi au kupanga wakachezee wapi. Mbao wameambiwa watapewa 10M na kiingilio chote chao. Kama waliweza kuhamisha ofisi zao kwenda gsm, nasema hata tff nae asione aibu ahamie tu kama Yanga alivyofumba macho maana wote wanazaminiwa na mpuuzi mmoja. Tumezoea kwani hata enzi za Malinzi walihamisha ofisi kwenda kwa Manji, kama ilivyokuwa mwaka ule mliweza kumtoa Ndanda Mtwara na kumleta Dar basi hakuna jipya.
Yanga msisahau sana Kumshangilia Mayele, Makambo na Chiko, kwani ni bora tuungane kumshangilia Kibu denis ili na sisi next AfCON tuwe na timu yetu. GSM anaua Taifa Stars haiwezikani wachezaji watatu tu wachezea timu ya Taifa. Wakati huo Simba ni Manura,Kapombe,Shabalala,Kenedy,Mkude,Dilunga,Mzamiru,Boko,Kibu Denis na Nyoni. Hesabu hao 11.
MAGODORO NA MPIRA WAPI NA WAPI? Ufundi mbao huo
Mawazo kama haya huwa mnayatoa jikoni au stoo?
 
Yanga ni kama mwanaume anampeleka dem gesti yoyote.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Kweli kabisa mtani.
Endeleeni kutamba nyinyi Utopolo muda mchache ujao kifurushi mlichojiunga kitakata mmebaki na mb's chache sana.
 
Umesoma lakini hiyo Barua na Kuielewa au Umedemka ( Umehemka ) tu Kuchangia?

Hivi kama Yanga SC ndiyo Mwenyeji na Wao ndiyo wameomba Mchezo huo ukachezwe CCM Kirumba hawa ( hao ) Mbao FC wanahusika vipi na Kupanga Uwanja wa Kuchezea Mchezo huo?

Muwe mnaacha Kukurupuka mkiwa JF!!!
Mkuu ni wapi nimesema Mbao anahusika kuihamisha mechi kwenda Mwanza?? Mbona unanilisha Maneno? Sasa kati ya ww na mm nani amekurupuka?
 
Lakini haiondowi ukweli kwamba Mbao Mwanza ndio nyumbani kwao, yani hata gharama za usafiri wanaokolewa.

Inabidi uwe shabiki maandazi tu usilione hilo.
Inaweza ikawa nyumbani kwao lakini wasiokoe gharama. Mfano, kama walikuwa wanatoka Songea kucheza na Majimaji ligi daraja la kwanza, itabidi wasafiri tu kutoka Songea hadi Mwanza
 
Back
Top Bottom