Sasa hapa ndipo waliokuwa Walinzi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli wanapoanza Kupigwa Bao taratibu na Kuchekwa na wa Rais Samia

Bila shaka ndio hawa hawa wahudumu wa hoteli kubwa kubwa kama ushawahi lala na mmoja wao jua ushalala na mmoja wao 😅

Mkuu ,Nakubali hasa kuna mmoja hivi nilimtokea yuko ifm mara tena nimuone white nyumba simuelew ,nkapungz mawasliano
 
Mkuu ,Nakubali hasa kuna mmoja hivi nilimtokea yuko ifm mara tena nimuone white nyumba simuelew ,nkapungz mawasliano
Usiwaogope hawana hatari yoyote ila ni wahuni sana ukibabatika kumnasa mmoja chapa ondoka isilazimishe mapenzi maana mnakuwa mmepangwa mstari.
 
Sawa sawa ila upunguze wivu kwa vijana wanaomlinda Mh. Samiah Suluhu
Nani mwenye wivu juu ya hao walinzi!? Naona umechanganya wachangiaji, mimi ni mmoja wa wale wanaowaunga mkono hawa wa sasa na kuwatetea wale wa JPM, kwani kila ZAMA NA KITABU CHAKE. In fact nawapenda sana hasa wale akina dada na yule ADC wa Rais kwani ni POTI! Au siyo!?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 18 Septemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo.

Chanzo: itvtz

Kuna Watu Kumbukumbu yangu inaniambia kama ni Kusafiri sana bali ilikuwa ni Afrika Kusini na Zimbabwe ila Kwingineko (Overseas) watakusikia tu kwa hawa Wenzao wa sasa.

Na kinachouma na mpaka kufanya Mightier niwaonee Huruma Walinzi fulani ni kwamba walikuwa Wakiwadharau mno hawa wa sasa wanaoenda Marekani huku wakisahau kuwa Siku zote aijuae Kesho ni Mwenyezi Mungu pekee.

Kuna Watu Wanne wa Makumbusho najua hivi sasa kwa hili Bata wanaloenda Kula Wenzao ( waliokuwa wakiwadharau ) walipokuwa na Mwamba Sura zao zitakuwa zimenuna mno na Misonyo Kutawala tu mahala walipo kwani asikuambie Mtu New York siyo sawa na Johannesburg ( Gauteng ) au Harare au Dodoma au Tandahimba au Karagwe.

Tuacheni Dharau tukiwa katika Nafasi.
Mama tangu mwanzo aliwajulisha wasaidizi wake kwamba 'bata' lipo pale alipoongelea kwamba haiwezekani nchi yetu ikawa ni sawa na kisiwa.

Ni lazima ujichanganye ili uweze kweli kuinua nchi yako kiuchumi. Ukikaa tu ndani unadumaa na huwezi kukwepa kujichanganya na watu wa mataifa makubwa ya nje. Kadri unavyoweza kujichanganya na wakubwa ndivyo nchi yako inavyozidi kuneemeka.

Ukiwa unawaangalia watu wa mataifa kwa wasiwasi na wao watakusahau mapema tu. Kilicho na umuhimu ni kuwa waangalifu wakati nchi ikifunguka hawa watendaji wa karibu na mkuu wa nchi wasianze kuchora michoro michafu ya ufisadi.
 
Usiwaogope hawana hatari yoyote ila ni wahuni sana ukibabatika kumnasa mmoja chapa ondoka isilazimishe mapenzi maana mnakuwa mmepangwa mstari.
Mkuu Hebu niambie vijiwe ambavyo naweza kuwapata kwa urahisi namimi nijilie papuchi ya 'Eagle House'
 
Back
Top Bottom