Sasa hapa ajali ikitokea atalaumiwa nani? Na kwenye cabin ya hii CARRY wamekaa watatu!

deadteja

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
379
84
1387034013872.jpg
 

issue kama hyo imetokea kimbiji kigamboni,saa 1:30 asubuhi,Toyota dcm,ilikuwa imebeba watu mpaka kwenye carrier,imepinduka ktk daraja na imebiringita mara 3 na kuua 24 baada ya masaa machache baada yakufikishwa hospitali,mimi pia nilikuwa muopoaji.R.P.I my fellow friends whom i used to meet each other.Bytheway,73 ni majeruhi,na wana hali mbaya sana.SIkujaribu kupiga picha coz,hali ilikuwa inatisha leo.
 
Na hapo kamera imemkosa traffic kwa mita chache sana, maana yake ni kwamba hii gari ameiona na akaendelea na shughuli nyingine Bula kuichukulia hatua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom