Sasa Bunge lawa jukwaaa la mipasho

Little John

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
215
66
Inashangaza sana kumsikia mkuu wa nchi akigeuza jumba la Bunge kuwa eneo la mipasho.
Rais anasema yeye ndiye Rais, nasi tunajua hilo, anamtaja makamu na Rais wa Zanzibar, hao wot e tunawajua. Ni wazi anawasema Chadema, eti watake wasitake yeye ndiye Rais. Ni kweli kwa sasa, but ikumbukwe kwamba hakuna marefu yasiokuwa na ncha, ipo siku tu na sio mbali "KITAELEWEKA".
 
Hivi bado kuna watu wanatarajia kusikia cha maana kutoka kwa Mkwere!!!!!!

Mara ya mwisho kutarajia kusikiliza cha maana kutoka kwa Kikwete hata sikumbuki ilikuwa lini. Nilishajiamulia kumsikiliza no, unless otherwize niwe nataka kupata verse za kushukia nazo kitaarabu au mchiriku. Labda kama nimeshikwa hamu ya kusikia mipasho mipya ya Mkwere ndo ntamsikiliza

Wateja wake ni wakina Mzee Yusuph wa nchumu na alamba.
 
Hehehehe hapo mwisho kwa kweli kaharibu sana, hakutakiwa kuongea vile, na Pinda naye akaanza mipasho!
 
Inashangaza sana kumsikia mkuu wa nchi akigeuza jumba la Bunge kuwa eneo la mipasho.
Rais anasema yeye ndiye Rais, nasi tunajua hilo, anamtaja makamu na Rais wa Zanzibar, hao wot e tunawajua. Ni wazi anawasema Chadema, eti watake wasitake yeye ndiye Rais. Ni kweli kwa sasa, but ikumbukwe kwamba hakuna marefu yasiokuwa na ncha, ipo siku tu na sio mbali "KITAELEWEKA".

Subirini baada ya miaka mitano, labda!
 
Ilipoanza mipasho yake nilizima TV maana sina jipya nitakayopata kutoka kwa jambazi wa kuiba kura.
 
Inashangaza sana kumsikia mkuu wa nchi akigeuza jumba la Bunge kuwa eneo la mipasho.
Rais anasema yeye ndiye Rais, nasi tunajua hilo, anamtaja makamu na Rais wa Zanzibar, hao wot e tunawajua. Ni wazi anawasema Chadema, eti watake wasitake yeye ndiye Rais. Ni kweli kwa sasa, but ikumbukwe kwamba hakuna marefu yasiokuwa na ncha, ipo siku tu na sio mbali "KITAELEWEKA".

mwenye kutarajia kusikia la maana kutoka kwa rais wa ccm kikwete anatakiwa kupimwa akili
utawezaje kutarajia mavuno ya kahawa kwenye mchikichi? ni lazima tujue wazi kuwa
huwezi vuna zabibu kwenye mibaruti
 
Kusema ukweli hata sijui kwa nini mungu ameamua kutujaribu kupitia nafasi ya uraisi, inataka moyo mgumu sana kumsikiliza kikwete, hadithi kibao! Misemo kibao, at the end unatoka kichwa kinauma very bored. Poor tanzania ooh my country god help us.
 
Tatizo la ccm na viongozi wake wanafikiri kuwa chadema ndio waliojipigia kura,wanasahau kuwa kura zilizochakachuliwa ni za wananchi na si za chadema,Wanachokifanya Chadema ni kuwakilisha mawazo na msimamo wa waliowapigia kura.
Kwa maneno hayo Kikwete ajue kuwa anawaambia wananchi wapiga kura kuwa hata kama hawakumchagua bado aliiba kura na akatangazwa mshindi,hivyo wamtambue wasimtambue yeye atabaki kuwa rais......Awe mwangalifu asicheze na nguvu ya umma.
 
Jamani ukwereni Mipasho ni kitu cha kawaida sasa ninyi wabara kinachowauma nini tena
 
Unajua vitendo vya huyu JK ndiye anasaidia wananchi wapende upinzani hivyo si mbaya kusaidia mageuzi.
 
Back
Top Bottom