Sasa basi, maandamano nchi mzima kulaani mauaji Kibiti na kumuunga mkono rais na jitihada zake

RUTAGAMBWA

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
516
256
Wadau,

Nashangaa roho za watu zinazidi kupoteza bila sababu za msingi na serikali inapiga juu china kuchukua hatua za msingi kulinda raia wake..

Kwann yasiitishwe maandamano inchi mzima kumuunga mkono rais na jitihada zake za kuzuia mauaji Kibiti huku tukilaani mauwaji hayo??

Kwann tusiandamane kwa amani kumuunga mkono rais kwa kazi nzuri anayoifanya huku tukimuomba amuwajibishe Mwigulu Nchemba kwa kushindwa kufanya kazi yake ipasavyo?

Naogopa Sana, Leo mauwaji yameanzia Pwani, kesho na kesho kutwa utasikia yamesambaa inchi mzima..

Inamaana intellinjensia ya inchi hii imepruvu feliya kiasi hicho???

Inauma sana..
 
Subiri kwanza ccm wamalize kumpongeza kwa kuunda tume kuchunguza makinikia!
Kibiti baadae kwanza!
Hivi uliuona ule ulinzi wakati lowasa anaenda pale centro?
 
Ni jambo lenye kuleta Sintofahamu na uzuni maana intelligencia imeshindwa ama imechelewa kuleta majib km wameshindwa au bado wako kwenye harakati za kutatua tatizo..hofu tangu mbona wanachelewa? Kule ukweni nilipooa wanamsemo unasema (EMBWA EKALYA AKOMUZANA BASHEKA OLWO YALILE AKO OMUKAMA BATI EMBWA NSHUMA).wakiimanisha mbwa hakuonekana wala kuamini kuwa ni mwizi pale alipokukula /kuiba kwa mtu wa kawaida ila alipokula/kuiba kwa mkuu wa kaya/kiongoz ikaoneka mbwa ana hatia. Tufike paala tuwe kitu kimoja kuona kuwa hili ni tatizo kubwa maana endapo jamii flani itaamini kuwa kuua ni jambo la kawaida basi machafuko yatukwa makubwa mno..nilichojifunza kwa binadamu ni kuwa anaweza kujilinda usipombugudhi..licha yakuamin vyombo vya ulinz na usalam vina nafas kubwa...lakin tuamin aliyejitoa mwanga kuua mtu mmoja basi anaweza kuiangamiza dunia nzima hivyo tusimchekee ama mharifu au mchochezi au chanzo chake...! Mungu inusuru tanzania.
 
Wadau,

Nashangaa roho za watu zinazidi kupoteza bila sababu za msingi na serikali inapiga juu china kuchukua hatua za msingi kulinda raia wake..

Kwann yasiitishwe maandamano inchi mzima kumuunga mkono rais na jitihada zake za kuzuia mauaji Kibiti huku tukilaani mauwaji hayo??

Kwann tusiandamane kwa amani kumuunga mkono rais kwa kazi nzuri anayoifanya huku tukimuomba amuwajibishe Mwigulu Nchemba kwa kushindwa kufanya kazi yake ipasavyo?

Naogopa Sana, Leo mauwaji yameanzia Pwani, kesho na kesho kutwa utasikia yamesambaa inchi mzima..

Inamaana intellinjensia ya inchi hii imepruvu feliya kiasi hicho???

Inauma sana..
Ni matumizi mabaya ya rasilimali muda kuzunguka nchi nzima ilihali site ya matukio ipo mkuranga!
 
Wadau,

Nashangaa roho za watu zinazidi kupoteza bila sababu za msingi na serikali inapiga juu china kuchukua hatua za msingi kulinda raia wake..

Kwann yasiitishwe maandamano inchi mzima kumuunga mkono rais na jitihada zake za kuzuia mauaji Kibiti huku tukilaani mauwaji hayo??

Kwann tusiandamane kwa amani kumuunga mkono rais kwa kazi nzuri anayoifanya huku tukimuomba amuwajibishe Mwigulu Nchemba kwa kushindwa kufanya kazi yake ipasavyo?

Naogopa Sana, Leo mauwaji yameanzia Pwani, kesho na kesho kutwa utasikia yamesambaa inchi mzima..

Inamaana intellinjensia ya inchi hii imepruvu feliya kiasi hicho???

Inauma sana..

Maandamano yamezidi hao polisiccm? mtaishia kuvamia watu wasiokuwa na hatia tu
 
Back
Top Bottom