Sasa basi huu ndiyo muda muafaka baada ya haya kutokea fanya maamuzi sasa!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Tulio watarajia safari zao zimehairishwa! waliokuja ni wageni tuliokuwa hatuwatarajii sasa basi, tukajiandikishe katika daftari la kudumu la wapiga kura ili tuweze kupata fursa ya kuchagua kiongozi tunaye mtaka sisi bila kujali chama chake kwakuwa wameamua lizame tugawane mbao.
 
Back
Top Bottom