Sasa akitolewa U-RC na kupewa unaibu katibu mirathi ya late Mengi itakuwaje?

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Sijui itakuwaje maana majuzi kashikia kidedea ile mirathi iende Rwanda badala ya uchagani,kijana yule anayejifanya mtakatifu ana kashfa nyingi tu za upigaji,kuanzia ma mali ya hatari ambayo watu wa kanda ya ziwa hususani mwanza wanayajua hata kijiweni wanayaongelea,kijana ni bingwa wa maigizo kutwa kuhangaika na maigizo kama futuhi huku kazi muhimu zikimshinda maana uwezo huo hana tangu akiwa mtoto yeye ni failure tu darasani

Bahati yake ni kwamba mamlaka huzika imeamua kumbeba kwa nguvu zote inaaminika hata leo akienda pale posta kwenye sanamu la askari na kufyatua risassi akaua mamia ya watu ataambiwa wewe chapa kazi usiwasikilize hao
Kijana huyu inasemekana eti anapandishwa cheo kwenda kuwa naibu katibu mkuu wizarani huko,niwape pole wahusika wa wizara hiyo na waziri muhusika maana watakiona cha moto,wote watakuwa chini ya huyo naibu katibu.

Sasa sijui itakuwaje ile mirathi ya mnyarwanda sijui ataishughulikia hukohuko? ten percent ni muhimu sana,kwake bora iende Rwanda kuliko lile kabila la kule maana kwa mujibu wake yeye mchaga wa maana alikuwa mmoja tu na keshakufa
 
Kwa unavyoongea ina maana anakua Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Mambo Ya Ndani. Daaaah hii nchi nazan kuna phase wanailazimishia ifike kabla ya mda wake na sio tatzo itafika kisha tutajua yypi wa kuanza nae
 
Kamuambie bashite Daud kwamba ule ujingaujinga aliokuwa anafanya shuleni na kupata MA ZERO hadi kununua vyeti ndiyo matunda yake haya anadhani usanii wake wa futuhi na maigizo ya kitoto ndiyo uongozi,wehu kabisa nyie.
umeandika pumba
 
Back
Top Bottom