Saruji Tanga kuzalisha ajira zaidi

Anna Nkya

Member
Oct 21, 2021
69
341
Habari njema kwa watu wa Tanga na Tanzania kwa ujumla, kutoka na kazi kubwa inayofanywa na Rais Samia katika kuboresha diplomasia ya uchumi na mazingira rafiki ya uwekezaji', Kampuni ya Huaxin Cement ya China kwa kushirikiana na Mfuko wa Uwekezaji wa CADFUND imeanza uzalishaji wa saruji mkoani Tanga.

Ajira nyingi zitapatikana kwa ajili ya Watanzania hususan wakazi wa Tanga, lakini pia uzalishaji wa saruji nchini utaongezeka na kupunguza gharama za ujenzi nchini.

#mamayukokazini

Nakumbuka walianza kujadili enzi za jiwe hicho kiwanda..Sasa inatakiwa bomba la gas lifike Tanga kusaidia uzalishaji wa saruji
 
Habari njema kwa watu wa Tanga na Tanzania kwa ujumla, kutoka na kazi kubwa inayofanywa na Rais Samia katika kuboresha diplomasia ya uchumi na mazingira rafiki ya uwekezaji', Kampuni ya Huaxin Cement ya China kwa kushirikiana na Mfuko wa Uwekezaji wa CADFUND imeanza uzalishaji wa saruji mkoani Tanga.

Ajira nyingi zitapatikana kwa ajili ya Watanzania hususan wakazi wa Tanga, lakini pia uzalishaji wa saruji nchini utaongezeka na kupunguza gharama za ujenzi nchini .

#mamayukokazini
Kiwanda kiko wapi? Hiki cha Rhino?
 
“kupunguza gharama za Ujenzi nchini”

Nchi ngumu hii hata kama viwanda vitajengwa kila mkoa usitegemee gharama za Ujenzi zitapungua.
Dangote alitaka kuuza cement mfuko chini ya shilling elf 10, akitaka kuuza elf 9 au 8 kwa mfuko unajuwa walichomwambia na Serikali iliyopo madarakani kuwa ataua viwanda vingine vya cement.
 
Back
Top Bottom