Sare za kiume za wanachama wa CHADEMA NA ACT Wazalendo ninyi mnazionaje

Kwahio unapima mafanikio ya Chama Cha Siasa kwa Sare ? (Kumbuka tunaongelea Chama Cha Siasa, sio Chama cha wana Fashion Show..), kuna umuhumi gani Chama kuwa na Sare na Kupendeza wakati wanachama / wananchi wao wengi nguo zimepauka ?, au unadhani Ghandhi kuvaa kwake shuka ni kwamba suti zake zililiwa na Panya ?

Mtizamo wa wananchi kama wewe ndio maana wanasiasa wanapeta.., mtu anafurahia maendeleo hana Bima, chakula chake ni bahati nasibu na watoto wake kupata elimu mpaka wabembeleze mkopo (and that is not 100% guaranteed)... I repeat Politics za karne hii ni brainwashing people na propaganda...
Mkuu sare ya chama iko ndani ya katiba hata logo iko ndani ya katiba acha ushamba. Na hiyo wanachama ndio ambao hu design. Chama bira sare sio chama. Sare ndio utambulisho wa chama acha uchakubanga.
 
Hivi wakuu hizi sare za kiume za hivi vyama ni nani aliwachagulia.

Yaani mkizivaa haziwapendezi hata kidogo yaani.

Mlishindwa kuchagua rangi nzuri ya sare kwaajili ya wanachama wenu.

Hivi hamwoni aibu kuvaa masale kama ya hayo.

Sii bora mngeshona sare hata zinazofanana na jezi za chelse au Arsenal kuliko kutuvalia masale meupe kama mizimu wengine wanatuvalia masale ya rangi ya kjivu kama makombati ya wavuta bangi.

Kwanini msichague sare zenye rangi inayovutia kama ya CCM.

Hivi hamwoni wivu mkiona wanaccm wanavyo tinga sare zinazovutia.

Hivi hamwoni aibu hata vile vitambaa vya wanawake wa CCM.

Kama hujanielewa naomba tutupie sare za ile siku ACT wanamkaribisha mwanachama mpya.

Na zile za Chadema alafu tutupie na za CCM.
View attachment 1517468

View attachment 1517469
View attachment 1517470
View attachment 1517471
View attachment 1517472View attachment 1517476
View attachment 1517478

Sipo kwenye hili jukwaa kwaajili ya kulipwa na mtu yeyote wala sihitaji malipo.
Nipo kwaajili ya kuzungumza ukweli.
Na huu ndio ukweli kwamba vyama vya upinzani vimejaa viongozi na wanachama washamba na ndio maana wameshindwa kuchagua angalau hata sare zinazovutia.

Wameshindwa kutambua kwamba hata sare ni sehemu ya chama.

Na ndio sababu hata wanachama wengi wa hivi vyama ni wale wasiojitambua walopokaji utadhani wanavuta mibangi.
Mie nilidhani za Klabu ya Yanga
 
Ukichukua..Shati la njano na kijani na khaki...nzi watakimbilia njano na kijani wakijua ni maembe ya kibada
 
Mazingira/mimea ni ya kijani kwa sababu ya chlorophyll ya kusaidia photosynthesis acha uzembe ww
Hebu hapo ulipo vaa suruali ya kijani na shati la njano halafu mwenzako avae shati la blue na suruali nyeusi halafu uone
Hiyo chlorophyll hata aliyesoma ngumbaru anaijua hapa tunaongelea mavazi!
 
Vijana waliopo huko wapo kwenye kozi za uchawi.Watu gani hao wanacheza ngoma na fisi?
Ndiyo tabia zao
tapatalk_1594176074647.jpeg
 
Back
Top Bottom