Sare za CCM: Nani yuko sahihi kati ya Dr Bashiru na Komredi Polepole?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru huvalia sare za CCM wakati awapo katika majukumu ya kichama lakini katika shughuli za kiserikali au kijamii huvaa mavazi yake ya kawaida.

Katibu wa Uenezi na Itikadi wa CCM komredi Polepole yeye huvaa sare za CCM nyakati zote labda jumapili tu aendapo ibadani. Hii inamaanisha kuwa Polepole huvaa sare za CCM hata katika shughuli za kijamii ikiwemo misiba, harusi, kipaimara, michezo, ngoma na hata kwenye mialiko ya kiserikali.

Najiuliza tu kati ya viongozi hawa wawili ni yupi anazitendea haki sare za CCM?.

Maendeleo hayana vyama!
 
Bashiru anabana matumizi ya kuchakaza unifomu za chama wakati huohuo polepole anabana matumizi ya kuharibu nguo zake alizonunua kwa mshahara wake
 
Msibani na gwanda za chama cha mafisadi wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom