G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,596
- 36,018
Ikiwa ni takribani wiki moja sasa tangu serikali kuwatimua wanafunzi zaidi ya 7000 waliokuwa kwenye programu maalum ya masomo ya Sayansi UDOM kwa lengo la kuwaandaa kuwa walimu, Serikali imetangaza rasmi kuanza mchakato wa kuwarudisha kazini walimu wa Sayansi ambao wameshastaafu.
Hayo yamesemwa leo bungeni mjini Dodoma na naibu waziri wa TAMISEMI ndugu Seleman Jaffo.
#HAPA KAZI NA KASI TU!
Hayo yamesemwa leo bungeni mjini Dodoma na naibu waziri wa TAMISEMI ndugu Seleman Jaffo.
#HAPA KAZI NA KASI TU!