Kiboko.
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 2,891
- 1,211
Habarini wakuu,
Rejea kichwa cha habari hapo juu ninasikitishwa kuona wasomi tunaowategemea ndo wanakuwa mstari wa mbele kucheza rafu chafu na kukimbia kwenye siasa, hapa nawalenga wote wawili Dr. Mwigulu na Prof. Kitila.
Huko Iramba sasa Kitila anatumia muda wake mwingi kujijenga na kumchafua Mwigulu ili uchaguzi ujao apate nafasi yeye ya kuwawakilisha wana Iramba ilihali Mwigulu naye bado anakubalika na bado anahitaji waongoza wana Iramba.
Rai yangu kwa Kitila, asubiri muda ufike atagombea na mbivu na mbichi zitajulikana, kutumia wanahabari na vijana wa UVCCM haitomsaidia kitu zaidi ya kukichafua chama na kupelekea kulipoteza jimbo. Mwigulu na wewe hakikisha unatimiza yale uliotuahidi wana Iramba.
Ovaaa