Sarah Palin kushtakiwa kwa kutumia ofisi yake vibaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sarah Palin kushtakiwa kwa kutumia ofisi yake vibaya

Discussion in 'International Forum' started by Susuviri, Jan 25, 2009.

 1. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Haya Kisura wa McCain amejikuta akibaki kushangaa pala ambapo wanachama wenzake wa Republican party na maofisa wake walipoamua kumshtaki kwa kuvunja maadili na kutumia ofisi yake vibaya wakati wa kampeni... Rule of Law ni kitu kizuri sana!
  Atta girl McLeod!!! get ready for some cat fights! Nadhani Palin itabidi aanze kuangalia vizuri actions zake maana 2012 is around the corner!
   
Loading...