Sarah Msafiri.

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
6,033
3,944
Wakuu, Poleni kwa kazi. Ninaomba kupata picha na CV/Profile ya Mheshimiwa mbunge wetu wa Viti Maalumu kutoka Tabora, Sarah Msafiri. Natanguliza Shukurani.
 
Wakuu, Poleni kwa kazi. Ninaomba kupata picha na CV/Profile ya Mheshimiwa mbunge wetu wa Viti Maalumu kutoka Tabora, Sarah Msafiri. Natanguliza Shukurani.
dah nimeshtuka maana mama yangu anaitwa jina hili pia.
 
una maana ya sarah msafiri ally mwizi wa waume za watu?:brick::angry::angry:
 
una maana ya sarah msafiri ally mwizi wa waume za watu?:brick::angry::angry:

Hilo la kuwa mwizi wa waume za watu silifahamu, ila nilikuwa na maana ya huyo huyo Sarah Msafiri Ally. Lete kitu kizima. Ni vyema tukaanza kuwatambua wabunge wetu waheshimiwa wa Viti maalumu kabla hatujaanza kusikia michango yao.

amesoma nini? Maana cv mpaka uwe na kaelimu walau ka chuo chochote kikubwa. La 7 hawana cv

Mkuu Malunde-Malundi, hoja yako ni njema sana lakini umeileta nusu nusu. Una maana kwamba Mheshimiwa wetu wa Viti maalumu ameishia darasa ala Saba?
 
rekebisha kidogo post sisi tunaowajua sarah Msafiri na wabunge wa viti maalumu mkoa wa tabora umetuacha vibaya. sara Msafiri ni mbunge v. maalumu kupitia kundia la vijana, wabunge wa viti maalumu mkoa wa Tabora ni Mama magreth Sitta na bi Munde Tambwe ulichokusudia kusema ni nini?
 
You are Right, Mkuu. SORRY. Ni mbunge Viti maalumu. Ndio tatizo la kuwa na makundi mengi ya Ubunge mpaka watu tunachanganya mambo...!

Back
Top Bottom