Sandvik Tanzania: Mnaoifahamu hii kampuni kwa kina, msaada wenu

Value

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
252
402
Habari wakuu?
Bila shaka mnafaham sio vyema kwenda kwenye usaili bila kufahamu machache kuhusu kampuni/taasisi/shirika husika.

Baada ya kufanya tafiti kwenye mtandao kuhusu sandvik (apart from jf), naomba kujuzwa mengi kuhusu hii kampuni.
>Aina za usaili zikoje? Mfano watu wa stores, warehouse and procurement.
>Mishahara yao ikoje kwenye mtu wa Shahada kwenye field tajwa hapo juu? Gross salary huanzia kiasi gani?
>mazingira ya kazi yakoje kwa wafanyakazi wa sandvik?
>Je kuna allowances zozote mbali na mishahara ambazo mfanyakazi hulipwa? Mfano overtime na leave allowance

Nijuzeni na mengineyo kwa faida ya wengi
 
Sorry mkuu, wamekuita ile post ya warehouse operator?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu asante.
Mbali na salary, kuna benefits gani wanatoa?
Sandvik ni moja ya kampuni zenye maslahi mazuri sana kwa Dar es salaam na Mwanza, kwahivyo kwa sasa usiwaze mshahara wao bali waza kama hio nafasi utaipata , competetion itakua tough hasa ukizingatria tayari kuna watu wameshikwa mkono
 
Kuna post hapo juu umejibu kwa lugha chafu. Kuna watu hawatakupa hints kwa sababu ya lugha yako
 
Hujaijua human behaviours wewe,

You cant be calm and nice every time

Swali la msingi limeulizwa na SHOOyaKIBABE halafu anakuja Planett kujichekesha, ina maana its a kind of kejeli.

Lazima apewe za uso tu.
 
Back
Top Bottom