Sanators 25 Kwenda SA mazishi ya Mandela

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Sanators kibao wanakwenda SA .marais wote wa USA na wake zao Sanators na congress members wanaenda huko na a lot of movie stars .Sasa Jamani wa SA itabidi wakae nyumbani maana hiyo security na hapo unaambiwa POPE hajaa amua.Sio haki kwa wa SA wanahitaji kuimba barabarani Kuwa free kumuaga baba Yao .Sasa list ya celebrity watakaoimba and all that .Wa south wenyewe wanaimba Mbona barabarani .WANAFIKI MNOOO wanahudhuria mazishi ya Mtu waliomwita terrorist eti walikataa kumsaidia kutoka kisa waliogopa angekuwa Kama Mugabe angefukuza wazungu .Kweli USA kiboko Wana jifanya msiba wao na wenyeji jee?
 
Back
Top Bottom