Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,314
- 33,108
Huyu anawaza kugombea na kushinda kiti cha Urais wa Tanzania mnamo mwaka 2015.
duh....aliyetengeneza nilikuwa anafikiria nini!?
Anawaza jinsi ya kwenda kumtapeli mtu amuingie kwa gea ganiHadi sanamu linawaza? Kweli maisha magumu
blaza habari ya mtwara...?Imagination ya huyo aliyebuni hiyo sanamu ni ya hali ya juu sana...