Sanaa ya uchoraji sio mchezo

lwigwano

Senior Member
May 14, 2015
130
66
650c70e372479c2bca47ab6c66d413da.jpg



Nikazi mojawapo ngumu ila raha kuifanyaaa, mnatoa max ngap kwenye hii picha
 
Uchoraji ni kipaji..na wote wenye uwezo wa kuchora wanakua na akili. Unajua kuweka wazo kutoka kichwani kulihamishia kwenye picha sio kitu kidogo.
 
650c70e372479c2bca47ab6c66d413da.jpg



Nikazi mojawapo ngumu ila raha kuifanyaaa, mnatoa max ngap kwenye hii picha

mleta mada tunaomba kujua dhumuni la uzi wako pia kujua nani kaichora picha iyo na alie chorwa ni nani? ivo basi picha hii inatokana na photo shiner-
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom