lwigwano Senior Member May 14, 2015 130 66 Nov 12, 2017 #1 Nikazi mojawapo ngumu ila raha kuifanyaaa, mnatoa max ngap kwenye hii picha
ruby garnet JF-Expert Member Apr 10, 2017 2,860 3,810 Nov 12, 2017 #3 kunakazi ya kuchora. ukipewa utafanya?
lwigwano Senior Member May 14, 2015 130 66 Nov 12, 2017 Thread starter #4 ruby garnet said: kunakazi ya kuchora. ukipewa utafanya? Click to expand... inategemea namaslahi tyu
The Monk Platinum Member Oct 12, 2012 19,254 42,873 Nov 15, 2017 #8 Uchoraji ni kipaji..na wote wenye uwezo wa kuchora wanakua na akili. Unajua kuweka wazo kutoka kichwani kulihamishia kwenye picha sio kitu kidogo.
Uchoraji ni kipaji..na wote wenye uwezo wa kuchora wanakua na akili. Unajua kuweka wazo kutoka kichwani kulihamishia kwenye picha sio kitu kidogo.
naliwe JF-Expert Member Feb 17, 2013 647 800 Nov 16, 2017 #10 Mtoto wa profesa mdee uyu tulikua wote tulicheza wote pale ubungo
naliwe JF-Expert Member Feb 17, 2013 647 800 Nov 16, 2017 #11 Namjua namjua sana kuliko hata mnavyomjua
Riadha jr JF-Expert Member Aug 5, 2017 567 329 Nov 16, 2017 #12 lwigwano said: Nikazi mojawapo ngumu ila raha kuifanyaaa, mnatoa max ngap kwenye hii picha Click to expand... mleta mada tunaomba kujua dhumuni la uzi wako pia kujua nani kaichora picha iyo na alie chorwa ni nani? ivo basi picha hii inatokana na photo shiner-
lwigwano said: Nikazi mojawapo ngumu ila raha kuifanyaaa, mnatoa max ngap kwenye hii picha Click to expand... mleta mada tunaomba kujua dhumuni la uzi wako pia kujua nani kaichora picha iyo na alie chorwa ni nani? ivo basi picha hii inatokana na photo shiner-